Tunauza Viwanja na Mashamba Chalinze na Dar Es salaam
Mkuu, la kuzingatiwa ni kwamba lisiwe eneo la shule.
 
Shamba linauzwa. liko Miono mkoa wa Pwani wilaya ya Bagamoyo mbele ya msata, ekari 50. Eka moja laki mbili. Shamba zuri kwa kilimo na ufugaji. Mauzo ata kwa wanaochukua ekari chache. Maji ya DAWASCO yapo jirani.

IMG_20191215_132305_2.jpg

Mazao yanayokubali ni mahindi, mihogo, alizeti, ufuta, embe za kisasa, maharage, nanasi, papai za kisasa,pili pili,miti ya mitiki inakubali pia.

Kwa mawasiliano zaidi, karibu PM.
 
Yah nahitaji kama Kumi hivi, Bei inazungumzika? na je nikitaka kujiridhisha kwa kutemebelea before tufanye Biashara utaratibu upoje?
 
Back
Top Bottom