Tunauza Viwanja na Mashamba Chalinze na Dar Es salaam

Attachments

  • IMG_20200212_080707_9.jpg
    IMG_20200212_080707_9.jpg
    315.1 KB · Views: 9
Hapo kwala patakuja kuwa deal sana adse
 
Kibaha kwa mfipa,njia ya kwenda galagaza,ukubwa mita 20 kwa 30
Bei milioni mbili na nusu.
Umbali km 2 toka morogoro road.
Malipo ata kwa awamu mbili
.+255672893600
Kiwanja chako ama cha udalali?

#MaendeleoHayanaChama
 
Back
Top Bottom