Tunauza Viwanja na Mashamba Chalinze na Dar Es salaam
je unaweza kuuza kwa hekari chache yaani heka 5 hivi au unauza lote kwa bei hiyo maana hiyo bei ghali sana mkuu ungekuwa unakataka heka
ladyfurahia lipo flat kama hili kongowe kibaha hekari 5..
vipi ungependa kuchukua?
 
kuna shamba langu la heka 20, naliuza lina kisima kirefu 75miters, heka 3 zina drip, deasel engine na outonater, nyumba ya wafanyakazi pamoja na vijana wawili wapo shamba, kila kitu kipo tayari kuanza kulima hata kesho. nauza 30million tu. Lipo 5km from kibiti secondary gari ndogo inafika mpaka Shamba, pia kuna majirani kutoka dar na wanaendelea na projects. Mazungunzo yapo
Kwa muitaji tuwasiliane pm
Weka picha tafadhali
 
Kiwanja kinauzwa kibaha kwa Mathias.bei 3.5 million. Umbali toka morogoro road 4km.kuna makazi ya watu tayari .huduma zote za kijamii zinapatika .kwa muitaji tuwasiliane pm
 
IMG-20171214-WA0014.jpg
 
Back
Top Bottom