Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyumba inauzwa .ni ya vyumba viwili kimoja master.iko mbezi luguluni.ukubwa wa Eneo 25 kwa 20.umbali toka bara bara ya morogoro road ni 1km
Nyumba ina hati
Bei milioni 18.
Mawasiliano kwa muitaji pmView attachment 733308View attachment 733310View attachment 733313
Luguluni mr dennisIko luguruni au mbezi?
Uwe specific, iko eneo lipi?
Luguruni kabla haujafika kibambaBarabara ya Morogoro road ndio ipo wapi hii?
Ndio kuna barabara inaitwa barabara ya Morogoro road????Luguruni kabla haujafika kibamba
Hakuna tatizo lolote ,njoo ukague tena kipindi ichi cha mvua nyingi utaamini ninachosemaHapa mbona pako bondeni sana, salama kweli kwa wakati wa Mvua? Siyo Mafuriko tu hapa.
Hahaha sawa nimekosea nimekubali mkuu. Nilipaswa kuandika morogoro road.ndo Yale Yale ya daraja la surrender bridgeNdio kuna barabara inaitwa barabara ya Morogoro road????
Kwelipicha ipo clear sana
Meter mkuuHizo 20×25 zipo kwenye unit zip(meter,feets etc). Usiniambie kama ni hatua za miguu
Komaa te he ehe eNingekuwa na hiyo mil 18 ningeanza kumiliki nyumba DSM
Ni shida tu za ghafla Mkuu wala isingeuzwa,asante sanaKwa bei hiyo ni kama unauza kiwanja. Ni very cheap .
Usijal utapata mteja soon
Fala sana wewe.Ndio kuna barabara inaitwa barabara ya Morogoro road????
Shukrani!!!!Fala sana wewe.
Ni kweli Mkuu ,wala isingeuzwa,ni vile matatizo ya ghafla tuhyo bei ni rahisi sana
Hiyo naona ni nchi jirani mkuuMillion 18 sawa na bure..?