HOJA Tunavyozidi kuwaacha Vijana Waendeshe Bajaj na Bodaboda bila kufuata Sheria za Usalama Barabarani, Usalama wa watumia barabara u mashakani

HOJA Tunavyozidi kuwaacha Vijana Waendeshe Bajaj na Bodaboda bila kufuata Sheria za Usalama Barabarani, Usalama wa watumia barabara u mashakani

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika

Miguel Felix Gallardo

JF-Expert Member
Joined
Aug 17, 2024
Posts
2,841
Reaction score
5,218
Sijui ndo uafrika au ujinga ila mambo yanazidi kuwa oveziiii. Barabarani hakuna utaratibu wa kueleweka katika kuendesha vyombo vya moto.

Hawa vijana waliojizira hawana wanachojali wao wanapenyapenya, kuovertake hovyohovyo bila kuzingatia alama za barabarani.Wanapakia na kushusha pale akili zao zinapoishia pumbavu kabisa.

Hivi hili nalo linahitaji kampeni nq ufunguzi?!!!Viongozi na trafiki wa barabarani wamewaachia hawa vijana uhuru wa kujitawala bila kufatiliwa.

Hali inazidi kuwa mbaya pale hata abiria asiyehusika anaposababishiwa ajali kwaajili ya uzembe wa dereva nyoka au dereva asiye na mafunzo ya matumizi sahihi ya barabara na chombo cha moto.

📌📌Mamlaka husika amkeni ulemavu wa kizembe unaweza mpata yoyote hata yule anayefata sheria. Ajali ikisababishwa na mpuuzi asiyefata sheria hata mfataji sheria madhara humpata.
 
Aiseee kutembea barabarani kwa miguu ni risk sana kipindi hiki kwa waishio mijini
71.jpg

Sio kidogo. Ona wenzetu yaani ata ukisema leo naenda kazini kwa kutembea, una enjoy kutembea.
 
Umeongea point kabisa mkuu Hali ni mbaya sana kwenye barabara zetu hizi hata taa zikiamuru vyombo vya moto visimame inabidi tena uwe makini wakati wa kuvuka maana pikipiki hazijali zenyewe zinapita tu, nimeshuhudia ajali zaidi ya tano zilizosababishwa na pikipiki ilihali taa ziliruhusu waenda kwa miguu kupita lakini ndo hivyo hawajali na wengi wanatumia vileo vikali pamoja na bangi na ugoro, mamlaka zimelala, na kwa kuwa huwa wanatumika kisiasa na wanasiasa hasa nyakati zile basi naona hakuna ufwatiliaji sana mbaya zaidi hata leseni hawana, inasikitisha sana
 
Naamini RC Chalamila atalishughulikia hili.
Chalamila baada vurugu za uchaguzi , alianzisha operesheni ya kusajili upya pikipiki zote mkoa wa dar es salaam ,, sjajua mpango wange kama ulivuka hata wiki 1.
 
View attachment 3661944
Sio kidogo. Ona wenzetu yaani ata ukisema leo naenda kazini kwa kutembea, una enjoy kutembea.
Kiufupi mpangilio wa wa jiji la DSM ni hivyo!

Hata bila hizo pikipiki & Bajaji baado magari ni uchafu, mjini utakutana molori ya mchanga, makontena etc.

Miundombinu mibovu, ukitembea kwenda kazi ulifika inabidi kwanza uoge ndiyo uanzs kazi, vinginevyo utakua kituko ofisini kwa vumbi
 
Siyo dar ni nchi nzima
Kuko vagarant

Ova
 
Kiufupi mpangilio wa wa jiji la DSM ni hivyo!

Hata bila hizo pikipiki & Bajaji baado magari ni uchafu, mjini utakutana molori ya mchanga, makontena etc.

Miundombinu mibovu, ukitembea kwenda kazi ulifika inabidi kwanza uoge ndiyo uanzs kazi, vinginevyo utakua kituko ofisini kwa vumbi

😂😂😂 ila Dar ni mateso sana.
 
Vijana waende viwandani na mashambani wakafanye kazi, bodaboda na bajaji sio usafiri salama.

📌📌🔨Serikali ipige marufuku bodaboda na bajaji.Tubaki na texi, daladala na mwendokasi!
 
😂😂😂 ila Dar ni mateso sana.
Sana, ukiwa na kagari Kako somehow utaona raha ya kuishi DSM.

Lakini hizi za kupanda daladala/Boda/Bajaji miyayusho sana.

Kuwa smart changamoto sana, kwenye kabati langu ni T- shirt tu zimejaa, nikiitwa Interview ndiyo nikanunue za mitumba Sina shirts kwa sababu ya hali ya DSM.
 
😂😂😂 ila Dar ni mateso sana.
Sana, ukiwa na kagari Kako somehow utaona raha ya kuishi DSM.

Lakini hizi za kupanda daladala/Boda/Bajaji miyayusho sana.

Kuwa smart changamoto sana, kwenye kabati langu ni T- shirt tu zimejaa, nikiitwa Interview ndiyo nikanunue za mitumba suna shirts kwa sababu ya hali ya DSM.
 
Back
Top Bottom