Tunawaacha watoto wetu katika mikono ya day care ila katika guarantee ya usalama bora kiasi gani?

Tunawaacha watoto wetu katika mikono ya day care ila katika guarantee ya usalama bora kiasi gani?

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
4,460
Reaction score
13,715
Wakina diddy wamevamia sekta ya day care

Ni mwendo wa kutengeneza mashoga wengi maana mtoto wa kiume atajua kufirw ni kawaida maana alikuwa molested tangu utotoni

Yale ya dereva na mwenzake wa school bus kubaka kaanafunzi ka kike ka-kindergarten.

Kesi za kujirudia rudia za Waalimu wa madrasa kuwa lawiti watoto wadogo.

Sasa tena hii ya msimamizi wa day care huko Kenya kuwachukua video watoto huku akiwa anawagusa sehemu za siri.

Aisee hatua madhubuti inapaswa kufanywa ila itachukuliwa serious pale tu at th expense ya msukumo wa wazazi wenyewe.
 
Peleka mtoto day care ikiwa
  • Mmiliki unamjua personally
  • Unafika hapo kila siku na wakat mwingine unafika hata kat kat ya siku bila taarifa
  • unakagua mazingira yoote haapo mahala na unayajua
  • walez wa watoto wawe wa kike
Kweli kabisa mkuu
 
Back
Top Bottom