Kweli kabisa mkuuPeleka mtoto day care ikiwa
- Mmiliki unamjua personally
- Unafika hapo kila siku na wakat mwingine unafika hata kat kat ya siku bila taarifa
- unakagua mazingira yoote haapo mahala na unayajua
- walez wa watoto wawe wa kike
Mbona tafiti zinaoonyesha wanaume wengi Wana shida ya nguvu za kiume?Hao Ina maana Wana nguvu za kiume za kupitiliza!Duh kwa kweli maan wakina diddy wamevamia huko
Yah, mengine unamuachia Mungu ila yalio ndanibya uwezo wako fanyaa kwa ukamilifuKweli kabisa mkuu
Hii point kubwa kabisaPeleka mtoto day care ikiwa
- Mmiliki unamjua personally
- Unafika hapo kila siku na wakat mwingine unafika hata kat kat ya siku bila taarifa
- unakagua mazingira yoote haapo mahala na unayajua
- walez wa watoto wawe wa kike
Mungu mwenyewe anayo mambo mengi ya kufanya ni muhimu kila mtu kutimiza majukumu yakeYah, mengine unamuachia Mungu ila yalio ndanibya uwezo wako fanyaa kwa ukamilifu
Hizi day care zikiwekewa cctv, kidogo afadhariPeleka mtoto day care ikiwa
- Mmiliki unamjua personally
- Unafika hapo kila siku na wakat mwingine unafika hata kat kat ya siku bila taarifa
- unakagua mazingira yoote haapo mahala na unayajua
- walez wa watoto wawe wa kike
Atakwambia kapitiwa na shetani,hata yeye hajui!Ila mkuu nikimjua fala anafanyia mtoto wangu hivi aiseeeeeee duuuhhh,
Hasa watoto wa kiume.Duh kwa kweli maan wakina diddy wamevamia huko
Kama mtoto ukimfanya rafiki yako hakuna kitu atashindwa kukuelezaIla mkuu nikimjua fala anafanyia mtoto wangu hivi aiseeeeeee duuuhhh,