Tunawachapa Singida kirahisi sana

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2014
Posts
7,926
Reaction score
17,030
Singida tumeshawafunga kabla hata ya menchi. Hawa jamaa wana alama zetu 6 kila msimu. Kwahiyo wala hawatuumizi kichwa. Ni timu ya Mwigulu Nchemba ambaye ni mtu wetu, kwahiyo mechi rahisi hii.

Wana Yanga leo hesabuni alama 3 hapa, hakuna lolote la kutuzuia.
 
Maagizo yashatoka LEGEZENI KIDOGO MSIWAKAZIE KAMA SIMBA
 
Mpira wa Tanzania yanawezekana kabisa haya yaliyosemwa.
 
Hata sisi simba tuna pointi zetu 12 kwa Namungo fc na mwenzake Coastal Union.

Ni vile tu Azam fc ameamu kutuaibisha msimu huu. Ilikuwa tuwe na pointi zetu 15-18 za uhakika kutoka kwenye haya matawi yetu matatu.
 
Naona leo Utopolo mnaenda kuchuma maembe katika mti wenu wa uani.
Kama mlivyoyachuma kwa namungo ambayo ni mwembe wenu wa uani, tokea ipande ligi kuu aijawai kupata ushindi dhidi ya makolo kwa kuwa ni tawi lenu
 
Hata sisi simba tuna pointi zetu 12 kwa Namungo fc na mwenzake Coastal Union.

Ni vile tu Azam fc ameamu kutuaibisha msimu huu. Ilikuwa tuwe na pointi zetu 15-18 za uhakika kutoka kwenye haya matawi yetu matatu.
Kwa simba hamna kitu. Simba hawajui kucheza hii michezo. Wanajifanya wabishi watanyea debe. Yanga tupo vizuri. Singida atawasumbua Simba tu siyo sisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…