Zero Hours
JF-Expert Member
- Apr 1, 2011
- 12,942
- 18,669
Tunaomba sana uje ututembelee uone shughuli zetu kisha utuponde upendavyo lakini si kabla. Hututendei haki.
Hayo ya Arusha unaweza kuyafungulia uzi wake.
Haya maelezo yako hayajitoshelezi kuepusha upigaji.Dada zainabu mimi ninaushahidi kuna wamama wawili walipigwa million kumi na mbili na ndo ili kuwa mtaji wao wapo km wamechanganyikiwa
Km kweli mpo sirias mheshimu pesa za watu
Hii sio professionJe sisi wa Procurement & supply chain management?
Wewe bac utakuwa tapeli. Kama hutambui kuwa Procurement ni profession. Hutambui hata kuwa Kuna kitu kinaitwa PSPTB!!!!!!!!!!Hii sio profession
Hiyo PSPTB sihelewi,ila Procurement sio profession.Wewe bac utauwa tapeli. Kama hutambui kuwa Procurement ni profession. Hutambui hata kuwa Kuna kitu kinaitwa PSPTB!!!!!!!!!!
Msiwe mnabisha vitu msivyo vielewa. Hujui PSPTB ni nini na bado unabisha kuwa Procure si Profession. Kwanza usinichoshe mie. Google PSPTB ni nini ndipo utaelewa.Hiyo PSPTB sihelewi,ila Procurement sio profession.
Hilo halina mjadala ndio maana hao ma promotor hawajakujibu nadhani.
Wala haihitaji ku Google , hiyo PSPTB haitoshi kuifanya procurement kuwa profession.Msiwe mnabisha vitu msivyo vielewa. Hujui PSPTB ni nini na bado unabisha kuwa Procure si Profession. Kwanza usinichoshe mie. Google PSPTB ni nini ndipo utaelewa.
DOGO ficha ujinga wako. Hujui hata maana ya profession. Nenda shule kwanza.Wala haihitaji ku Google , hiyo PSPTB haitoshi kuifanya procurement kuwa profession.
Wahasibu wanafanya hiyo kazi ya procurement vizuri sana na wala hawahitaji mafunzo ya ziada.
Sababu kama unasema ni profession labda kama unamaanisha ni uhasibu.
Sijafananisha procurement na accounting,nachokuambia ni kwamba wahasibu wanafanya hizo kazi za procurement bila tatizo lolote linaloweza husishwa na ukosefu wa speciliazed knowledge.DOGO ficha ujinga wako. Hujui hata maana ya profession. Nenda shule kwanza.
Hujui hata procurement ni nini ndyo maana unaifananisha na accounting.
Need more details. check inboxAsante, karibu sana.
Dada zainabu mimi ninaushahidi kuna wamama wawili walipigwa million kumi na mbili na ndo ili kuwa mtaji wao wapo km wamechanganyikiwa
Km kweli mpo sirias mheshimu pesa za watu
Je sisi wa Procurement & supply chain management?
Mbona ameishasema aina ya biashara tayari.
Bi FaizaFoxy usipaniki,wakati wewe unafikiria namna ya kutengeneza pesa wengine wanafikiria namna ya kutopoteza pesa.
Hizo fikra zote zinahitajika kwenye uwekezaji,hivyo usifukuze watu sababu ya maswali yao,japo mengine yanaudhi.
Haya maelezo yako hayajitoshelezi kuepusha upigaji.
Na kwa hawa sijaona upigaji
Wewe bac utakuwa tapeli. Kama hutambui kuwa Procurement ni profession. Hutambui hata kuwa Kuna kitu kinaitwa PSPTB!!!!!!!!!!