Tunawakaribisha wanasheria, wahasibu, wahandisi, watawala, wawekezaji...

Tunawakaribisha wanasheria, wahasibu, wahandisi, watawala, wawekezaji...

Dada zainabu mimi ninaushahidi kuna wamama wawili walipigwa million kumi na mbili na ndo ili kuwa mtaji wao wapo km wamechanganyikiwa

Km kweli mpo sirias mheshimu pesa za watu

Tunaomba sana uje ututembelee uone shughuli zetu kisha utuponde upendavyo lakini si kabla. Hututendei haki.

Hayo ya Arusha unaweza kuyafungulia uzi wake.
 
Mbona ameishasema aina ya biashara tayari.

Bi FaizaFoxy usipaniki,wakati wewe unafikiria namna ya kutengeneza pesa wengine wanafikiria namna ya kutopoteza pesa.

Hizo fikra zote zinahitajika kwenye uwekezaji,hivyo usifukuze watu sababu ya maswali yao,japo mengine yanaudhi.
 
Dada zainabu mimi ninaushahidi kuna wamama wawili walipigwa million kumi na mbili na ndo ili kuwa mtaji wao wapo km wamechanganyikiwa

Km kweli mpo sirias mheshimu pesa za watu
Haya maelezo yako hayajitoshelezi kuepusha upigaji.

Na kwa hawa sijaona upigaji
 
Wewe bac utauwa tapeli. Kama hutambui kuwa Procurement ni profession. Hutambui hata kuwa Kuna kitu kinaitwa PSPTB!!!!!!!!!!
Hiyo PSPTB sihelewi,ila Procurement sio profession.

Hilo halina mjadala ndio maana hao ma promotor hawajakujibu nadhani.
 
Hiyo PSPTB sihelewi,ila Procurement sio profession.

Hilo halina mjadala ndio maana hao ma promotor hawajakujibu nadhani.
Msiwe mnabisha vitu msivyo vielewa. Hujui PSPTB ni nini na bado unabisha kuwa Procure si Profession. Kwanza usinichoshe mie. Google PSPTB ni nini ndipo utaelewa.
 
Msiwe mnabisha vitu msivyo vielewa. Hujui PSPTB ni nini na bado unabisha kuwa Procure si Profession. Kwanza usinichoshe mie. Google PSPTB ni nini ndipo utaelewa.
Wala haihitaji ku Google , hiyo PSPTB haitoshi kuifanya procurement kuwa profession.

Wahasibu wanafanya hiyo kazi ya procurement vizuri sana na wala hawahitaji mafunzo ya ziada.

Sababu kama unasema ni profession labda kama unamaanisha ni uhasibu.
 
DOGO ficha ujinga wako. Hujui hata maana ya profession. Nenda shule kwanza.

Hujui hata procurement ni nini ndyo maana unaifananisha na accounting.
 
DOGO ficha ujinga wako. Hujui hata maana ya profession. Nenda shule kwanza.

Hujui hata procurement ni nini ndyo maana unaifananisha na accounting.
Sijafananisha procurement na accounting,nachokuambia ni kwamba wahasibu wanafanya hizo kazi za procurement bila tatizo lolote linaloweza husishwa na ukosefu wa speciliazed knowledge.

Kazi ya namna hiyo huwezi sema ni profession.

Vijana wengi sana wamepotezewa muda wao kwenda vyuoni kasomea procurement na wameishia kulalamika.

Wafaidika wakuu ni vyuo,na waajiri wakuu labda ni serikali ambako wanauvumilivu mkubwa wa uborongaji wa kazi ukilinganisha na private sector.
 
Na ndio maana inawezekana kwenye aina ya uwekezaji unaozungumziwa hapa hawajatajwa. Yawezekana mapromotor hawajaona kama uweledi wao unahitajika as a special body of knowledge.

Kama sivyo watakueleza,mi nnajaribu tu kukupanua mawazo

Sababu siku hizi kuna mpaka professional politicians.
 
Dada zainabu mimi ninaushahidi kuna wamama wawili walipigwa million kumi na mbili na ndo ili kuwa mtaji wao wapo km wamechanganyikiwa

Km kweli mpo sirias mheshimu pesa za watu

"Walipigwa" na sisi? Kama hawajapigwa na sisi tunakuomba fungua uzi ili utuelimishe wote.

Utapeli upo, tunausoma na kuusikia kila siku ya Mungu lakini tunakuomba sana usituhusishe sisi na utapeli wa aina yoyote kabla hujakutana nasi na kujionea kwa macho yako shughuli tunazozifanya.

Tupe haki yetu tunayostahili ya kutotutuhumu bila kosa.

Tunakuwekea wazi kuwa baada ya kukutana nasi na kuona shughuli zetu tunavyozifanya unahaki ya kuandika kuhusu sisi kwa namna utayoiona.

Karibu sana kwetu.
 
Je sisi wa Procurement & supply chain management?

Tunachokifanya sasa hivi ni kujenga "start up team" kwa fani tulizozianisha hapo juu, team hiyo ndio itayounda mfumo wa kampuni iweje na kupendekeza board members wawe wepi. Board itakapokuwa formed ndiyo itashauri ni nani watakao hitajika kuwa kwenye team ya kuiendesha kampuni day to day.

Tutawajulisha maendeleo mara kwa mara kwani mpaka sasa tumepata baadhi ya watu ambao wapo tayari kuwekeza kwa kiwango fulani lakini team haijakamilika.

Abdul
 
Mbona ameishasema aina ya biashara tayari.

Bi FaizaFoxy usipaniki,wakati wewe unafikiria namna ya kutengeneza pesa wengine wanafikiria namna ya kutopoteza pesa.

Hizo fikra zote zinahitajika kwenye uwekezaji,hivyo usifukuze watu sababu ya maswali yao,japo mengine yanaudhi.

Ni wazo jema sana tunatumai Bi FaizaFoxy ataelewa.
 
Wewe bac utakuwa tapeli. Kama hutambui kuwa Procurement ni profession. Hutambui hata kuwa Kuna kitu kinaitwa PSPTB!!!!!!!!!!

Basi yaishe tusifikie huko. Tupo hapa kwa faida yetu sote, kuwa na mawazo tofauti ni kawaida kwenye mitandao.

Asante
 
Back
Top Bottom