Tunawakaribisha wanasheria, wahasibu, wahandisi, watawala, wawekezaji, na wengineo wote wataoina fursa hii, katika uwekezaji wa kati ambao unatarajiwa kuwa mkubwa sana kwa kipindi kifupi sana.
Yeyote katika hao ambae ana uwezo wa kuwekeza Shillingi millioni kumi au zaidi anakaribishwa katika uanzishwaji wa biashara mpya kabisa Tanzania.
Yeyote ataewekeza atakuwa ni mbia kwenye shirika (company) kubwa linalokusudiwa kuanzishwa na kuwa na matawi Tanzania nzima.
Kama ni mwanasheria na upo tayari kujiunga nasi basi kwanza kabisa unatakiwa uje na mkataba wa "Non disclosre agreement" ambao utatumika kwa wote watakaotaka maelezo zaidi.
Hatutaweza kuliweka wazi wazo hili kwa yeyote ambae hayupo tayari kujiunga nasi bila ya kusaini mikataba ya "non disclosure".
Hii ni fursa kwa wale walio "serious".
Tunakaribisha maswali...
Abdul
0625249605
watanzania "we are very poor in business"
yaani unachokifanya ni kama kuuza hisa but unatafuta wanunuzi wa hisa kwa njia ya kitapeli. naita njia ya kitapeli kwa maana matapeli ndio wanaoficha kile wanachokiuza na kutafuta kuwaingiza watu mkenge kwanza ndio mtu anakuja kujua kama kaliwa au kala.
lakini serious businessmen wanashawishi mitaji kwa kuweka wazi mipango ya kibiashara waliyo nayo. wanaokubaliana na wewe wanajiunga na wasiokubaliana na wewe wanakataa.
only an ignorant person ndiye anayeweza kuleta fedha kuingiza kwenye kitu kwa jina tu kutengeneza kampuni kubwa.
kama hutaki kuweka wazi basi anzisha watu waone pace ya kampuni uliyounda ndio uwashawishi walete mitaji muongeze soko na faida.
ile tu kugangania kusaini mikataba ya "non disclosure agreement" ni weakness kwa mtu ambaye anajua ujasiriamali maana wewe unaonyesha woga wa kibiashara na mtu kama huyo hawezi kutoka kibiashara maana biashara zinahitaji wateja washawishiwe kwa taarifa sasa kama fikra zenyewe ndio hizi za kuwaambia watu nunua kwanza ndio utajua faida za bidhaa au huduma zetu hakuna biashara hapo.