TUNAWAONA WAZURI SABABU TUNAWAPENDA

TUNAWAONA WAZURI SABABU TUNAWAPENDA

Joined
Mar 5, 2019
Posts
8
Reaction score
10
Kinachofanya wajione wao bora na wazurii ni Sisi wanaume tunapenda kuwasifu lakinii ukweli ni kwamba hawana uzuriii wowote ndo maana vitu vya urembo vimekuwa vingi kwao ili wapendeze waonekane wazurii. Ila Men tupo really bado tunapendeza na tunavutia
 
Kwahiyo mnachukua hatua gani? Kuendelea kuwarubuni ama kuwachana ukweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom