Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Tunawapenda sana kwa sababu mnatupa faraja mbalimbali; pale tunapokuwa tumechoshwa na mihangaiko ya hapa na pale huwa mnatufariji. Ila kuna wengine ni vichomi au mabomu, wanaosababisha tuwachukie na kuwachukulia wote mko hivyo.
Tunaomba mbadilike, ila amini tunawapenda sana hasa kwa yule anayejitambua na kujua wajibu wake.
Tunaomba mbadilike, ila amini tunawapenda sana hasa kwa yule anayejitambua na kujua wajibu wake.