Tunawapenda sana kwa sababu mnatufariji

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
33,679
Reaction score
49,841
Tunawapenda sana kwa sababu mnatupa faraja mbalimbali; pale tunapokuwa tumechoshwa na mihangaiko ya hapa na pale huwa mnatufariji. Ila kuna wengine ni vichomi au mabomu, wanaosababisha tuwachukie na kuwachukulia wote mko hivyo.

Tunaomba mbadilike, ila amini tunawapenda sana hasa kwa yule anayejitambua na kujua wajibu wake.

 









Lakini huyo dada sialitumbukia kichwa chini miguu juu mshikaji akaona kitumb..a😁😁
 
Huyo sholi si atadumbukia kweli??.
 
Picha iliofata demu alidumbukia majini ikabidi mwamba amsaidie kumnunulia gauni jipya na kumpeleka geto kwake akabadilishe πŸ˜…

Kilichofuata Yna2 atasimulia vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…