robbyr
Senior Member
- Apr 8, 2017
- 129
- 221
Ni kweli mtoto wako ana akili kwa sababu anapata A. Na hapo unaanza kumkaririsha kuwa atakuwa daktari, injinia n.k
Mbele ya safari anajua kuwa na uwezo mkubwa lakini hafanikiwi kufikia yale malengo ya kuwa daktari au Injinia.
Hapo ndipo anaanza kujihisi mjinga. Je, huyu mtoto anasaidiwaje kwenye mazingira ya jamii yaliyomjengea mawazo hayo?
Naamini hili limetokea wanafunzi wengi kidato cha sita. Je, mlikabiliano nalo vipi? Au Liliwaathiri vipi kiakili pale ambapo hukufikia alama za kukuweka kwenye ila sauti uliyoimbiwa toka ukiwa mtoto ya kuwa daktari au injinia??
Naomba tusaidia kwa sababu hiki kitabu kinanipa maswali mengi sana. Na nitayaleta hapa.