Tunawapuuza kupitia Mabalozi wao halafu huku nyuma ya Pazia tunawapokea kwa Nguvu zote na tukiwapigia Magoti waweze Kutusaidia kwa Umasikini wetu

Tunawapuuza kupitia Mabalozi wao halafu huku nyuma ya Pazia tunawapokea kwa Nguvu zote na tukiwapigia Magoti waweze Kutusaidia kwa Umasikini wetu

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
MKE wa mtoto wa Mfalme wa Uingereza, Sophie Hellen Rhys-Jones (kushoto) akisalimiana na Viongozi mbalimbali kutoka wizara ya Afya alipowasili katika kituo Cha Afya Cha mlandizi kilichopo Mkoani wa Pwani, (katikati) ni Waziri wa wizara hiyo, Jenista Mhagama.

Sophie anatarajia kutembelea kituo hicho kujionea hali ya utoaji huduma za matibabu ya macho.

Chanzo: habarileo_tz

Mwambieni Boss wenu sasa kama hawa hawana Umuhimu Kwake na Hawamtishi mbona Wamepokelewa tena Leo?

Cc: Mwanafunzi wangu niliyembeba Masomoni mno Chuoni Lucas Mwashambwa na Chawa Dunduka ChoiceVariable
 
Back
Top Bottom