Mag3
Platinum Member
- May 31, 2008
- 13,413
- 23,592
Mjukuu anamkatakata bibi yake mapanga, mtoto anamkataka babu yake mapanga...halafu wakikua tunawasukumizia uongozi wa juu kabisa! Hapo sasa...tunachagua hovyo halafu tunalalamika hovyo wakitutendea hovyo. Ni laana ndugu zangu! Hakika tunavuna tulichopanda!Ila mkuu kwanini nyie akina ngosha mnaona kumtoa mtu roho ni jambo la kawaida? Maana kuanzia kwa albino mpaka vikongwe aisee