Tunawashukuru sana Marekani kwa kukikata meno kikosi cha Wasiojulikana!

Ila mkuu kwanini nyie akina ngosha mnaona kumtoa mtu roho ni jambo la kawaida? Maana kuanzia kwa albino mpaka vikongwe aisee
Mjukuu anamkatakata bibi yake mapanga, mtoto anamkataka babu yake mapanga...halafu wakikua tunawasukumizia uongozi wa juu kabisa! Hapo sasa...tunachagua hovyo halafu tunalalamika hovyo wakitutendea hovyo. Ni laana ndugu zangu! Hakika tunavuna tulichopanda!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…