Hazchem plate
JF-Expert Member
- Feb 25, 2011
- 11,048
- 15,465
Hawa mabwana wametuinua sana. Dada zetu sikuhizi wanapiga mizinga ya kununuliwa Mossimo, na sio viatu vya bei kubwa
Kwa trend ya sasa, Wanawake nadhani nusu yao hapa Tanzania wanavaa Mosimo
Na huko mtaani kila mdada ni Mjasiliamali wa kuuza Mossimo
Vinawapendeza sana Hivi viatu licha ya kuwa bei chee.
Kongole kwa Mossimo kwa kuturahisishia maisha.