Tunawashukuru watengenezaji wa viatu vya Mossimo

Hazchem plate

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2011
Posts
11,048
Reaction score
15,465
Hawa mabwana wametuinua sana. Dada zetu sikuhizi wanapiga mizinga ya kununuliwa Mossimo, na sio viatu vya bei kubwa

Kwa trend ya sasa, Wanawake nadhani nusu yao hapa Tanzania wanavaa Mosimo

Na huko mtaani kila mdada ni Mjasiliamali wa kuuza Mossimo

Vinawapendeza sana Hivi viatu licha ya kuwa bei chee.





Kongole kwa Mossimo kwa kuturahisishia maisha.
 
Haahaahaaa kumekucha ngoja aje kiduku Lilo akuambie yeye demu wake alimnunulia mosino pea moja kwa USD 30000 huko Paris.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Si unajua tena tajiri kama yeye alivyo mzee wa cash money anaweza atoe zaidi ya hiyo halafu akaacha na keep change kama ya USD 10000 kwa kumuonea huruma mhudumu wa Gucci shoppers branch ya Paris aliyemuuzia Mosino pea moja chezea tajiri wa JF weye?
 
Nilikupiga mzinga ukanichomolea 😣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…