Tunawashukuru watu ambao mmeoa maana hata sisi tunafaidika mabachela tusio na kitu

Tunawashukuru watu ambao mmeoa maana hata sisi tunafaidika mabachela tusio na kitu

Kuandika kiswahili ni changamoto sana.
Tunashukulu = Tunashukuru
 
Endeleeni kuoa vijana , wake za watu sio wachoyo kabisa ngumu akubanie alichopewa bure labana awalinde pia endeleeni kuhudumia vizuri na sisi tule minofu .

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] labana ndo nani???? Alafu kijana unakuwa na akili za kiwaki namna hii!!!! Tunza rinda lako we tamba na wakikunyandua uje kuanzisha uzi hapa
 
Endeleeni kuoa vijana , wake za watu sio wachoyo kabisa ngumu akubanie alichopewa bure labana awalinde pia endeleeni kuhudumia vizuri na sisi tule minofu .
Usisahau MKEBE wa mafuta kila unapokwenda kuchepuka naye hii itasaidia kukuondolea michubuko pale utakapochoreshwa namba 7
 
Back
Top Bottom