Tunawaza mikopo tu, kwani hakuna namna zaidi ya kujikwamua kiuchumi?

Abraham Lincolnn

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2018
Posts
3,189
Reaction score
6,140
Rais wa Cuba kutwa akisimama kwenye majukwaa hautamsikia akizungumzia mipango endelevu ya kiuchumi na investment pamoja maendeleo ya kiteknolojia katika nyanja tofauti na kwa jinsi gani zinaweza kujenga uchumi stahimilivu wa nchi yake!

Yeye akisimama kuzungumza utasikia "Tumepata mkopo wa Covid"
"Marekani uchumi umeshuka hatuwezi kupewa mkopo"

Kwa kifupi No wonders, deni la taifa limepaa maradufu 😀
 
Nadhani wanafanana kwa asilimia zisizopungua 99.9999 na bi ushungi anayedai Tanzania ina uchumi mkubwa kuliko Marekani.
 
Rais wa Cuba kutwa akisimama kwenye majukwaa hautamsikia akizungumzia mipango endelevu ya kiuchumi na investment pamoja maendeleo ya kiteknolojia katika nyanja tofauti na kwa jinsi gani zinaweza kujenga uchumi stahimilivu wa nchi yake!

Yeye akisimama kuzungumza utasikia "Tumepata mkopo wa Covid"
"Marekani uchumi umeshuka hatuwezi kupewa mkopo"

Kwa kifupi No wonders, deni la taifa limepaa maradufu 😀

Mbaya zaidi mshauri wake mkuu ni JK smbeye huko nyuma slishawahi kusema hajui kwa nini Tanzania ni maskini.
 
Kwa miongo zaidi mitatu JPM ndiye kiongozi aliyekuwa anatangaza hadharani namna ya Mwaafrica anavyoweza kujikwamua ndani ya nchi hii.

Hawa wengine wote blah blah...sio Mama wala upinzani Lissu...kutwa porojo za kisiasa. Kwao kikubwa nani anatawala...hili ndilo limekuwa linabishaniwa siku zote.
 
Rais wa Cuba kutwa akisimama kwenye majukwaa hautamsikia akizungumzia mipango endelevu ya kiuchumi na investment pamoja maendeleo ya kiteknolojia katika nyanja tofauti na kwa jinsi gani zinaweza kujenga uchumi stahimilivu wa nchi yake!

Yeye akisimama kuzungumza utasikia "Tumepata mkopo wa Covid"
"Marekani uchumi umeshuka hatuwezi kupewa mkopo"

Kwa kifupi No wonders, deni la taifa limepaa maradufu 😀
Nendeni kule India na Bangladeshi mkajifunze viwanda vidogo vidogo kwa teknolojia rahisi, mkakope hizo hela za Covid mje muwawezeshe wajasiriamali wadogo wadogo, uchumi wa viwanda ndiyo kila kitu
 
Inasikitisha sana
FB_IMG_17486260138529094.jpg
 
Kwa miongo zaidi mitatu JPM ndiye kiongozi aliyekuwa anatangaza hadharani namna ya Mwaafrica anavyoweza kujikwamua ndani ya nchi hii.

Hawa wengine wote blah blah...sio Mama wala upinzani Lissu...kutwa porojo za kisiasa. Kwao kikubwa nani anatawala...hili ndilo limekuwa linabishaniwa siku zote.
Hawa wanao tutawala

Ova
 
Back
Top Bottom