Abraham Lincolnn
JF-Expert Member
- Apr 12, 2018
- 3,189
- 6,140
Rais wa Cuba kutwa akisimama kwenye majukwaa hautamsikia akizungumzia mipango endelevu ya kiuchumi na investment pamoja maendeleo ya kiteknolojia katika nyanja tofauti na kwa jinsi gani zinaweza kujenga uchumi stahimilivu wa nchi yake!
Yeye akisimama kuzungumza utasikia "Tumepata mkopo wa Covid"
"Marekani uchumi umeshuka hatuwezi kupewa mkopo"
Kwa kifupi No wonders, deni la taifa limepaa maradufu π
Nendeni kule India na Bangladeshi mkajifunze viwanda vidogo vidogo kwa teknolojia rahisi, mkakope hizo hela za Covid mje muwawezeshe wajasiriamali wadogo wadogo, uchumi wa viwanda ndiyo kila kituRais wa Cuba kutwa akisimama kwenye majukwaa hautamsikia akizungumzia mipango endelevu ya kiuchumi na investment pamoja maendeleo ya kiteknolojia katika nyanja tofauti na kwa jinsi gani zinaweza kujenga uchumi stahimilivu wa nchi yake!
Yeye akisimama kuzungumza utasikia "Tumepata mkopo wa Covid"
"Marekani uchumi umeshuka hatuwezi kupewa mkopo"
Kwa kifupi No wonders, deni la taifa limepaa maradufu π
Hawa wanao tutawalaKwa miongo zaidi mitatu JPM ndiye kiongozi aliyekuwa anatangaza hadharani namna ya Mwaafrica anavyoweza kujikwamua ndani ya nchi hii.
Hawa wengine wote blah blah...sio Mama wala upinzani Lissu...kutwa porojo za kisiasa. Kwao kikubwa nani anatawala...hili ndilo limekuwa linabishaniwa siku zote.