Tunawekwa katika madaraja ya kibaguzi.

Tunawekwa katika madaraja ya kibaguzi.

Mi nadhani hatuna malengo mazuri kwa taifa hili, walianza na kuwabeba wanawake, wakawekewa vigezo vya chini, mara wakawekewa viti maalum, mwisho wakasema wapewe uspika na wakapewa. Hawakuishia hapo wakaja kwenye elimu ya juu, ikawa si kufaulu tu mitihani bali combination ambapo bila kutafakari wakazishusha hadhi baadhi ya combination. Hawakuishia hapo wakaleta ujinsia, mara kwenye mikopo wakaja waliosomea private na government, hawakuridhika sasa wa NACTE wametengwa na kwakuwa tumezoea kubaguana sasa habari ya mjini ni kufiwa na wazazi wote ili upewe mkopo. Je, sisi wenye wazazi masikini tuwauwe wazazi wetu?
ogopa sana ktk ajira wakija kutaka watu waliosoma private schools tangu primary hadi university hapo ndipo gap kati ya aliyenacho na asiyenacho litakuwa kubwa maradufu...ole wao!
 
aina shida nitajilipa tu nikija pata kitengo si wameninyima wenyewe tuslaumiane mbele uko
 
Nahisi umekurupuka ndugu yangu.....

Fuatilia mjadala vizuri then uje na judicious thoughts sio unabwabwaja kama mtoto....

Wewe unadhani kila aliyepata nafasi ya chuo anahitaji huo mkopo....??
Unadhani kila aliyeomba nkopo hana uwezo...??
Fikiria mbali pimbi wa kifikra wewe..

Pimbi ni shangazi au Mkeo!!

Hivi unafanya vizuri kuwatetea watu walioboronga kwenye uoaji wa mikopo? Ni watu wangapi wamelalama kuwa pamoja na kuwa na viambatanisho vyote muhimu lakini bado wametemwa? Narudia tena vigezo vyao walivyoweka kwenye system yao havitoshi kutoa taswira halisi ya wahitaji wa mikopo "Gagulo mkubwa wewe". Hilo swali la kuwa kama tungekuwa wasemaji wa mwisho wa Bodi mwende muulizane na Mkeo/Mmeo!!
 
Napingana na wewe katika baadhu ya maeneo;

1.kuhusu kupendelea wanawake (si busara kusema hivo),jamii zetu za kiafrika zilikua na desturi za kuundergrade wanawake,kitu ambacho ni tofauti na haki za binadamu.Kwahiyo affirmative actions kama kuwapa nafasi kwenye sekta za uongozi,elimu,kazini,siasa nk nk ili kupunguza gender discrimination...

2.kuhusu elimu ya juu si vyema kusema kuwa baadhi ya michepuo imeshushwa hadhi, ni kwamba baada ya kuona kuwa kuna uhitaji mkubwa wa wanasayansi,michepuo ya sayansi ilipewa vipaumbele ili kuwapa motisha wanafunzi wasome hayo masomo....

3.kuhusu nikopo,nahisi nchi yetu haina uwezo wa kuwapatia wanafunzi wote hiyi mkopo,so inabidi ichaguo baadhi ya wanafunzi watakaonufaika na hiyo mikopo,,hapa ni hekima zaidi kuwapa wale wenye uhitaji,swali la kujiuliza ni;
Ni vipi utawatambua hao wenye uhitaji mkubwa wa mkopo...??

Wewe ni moja ya watu wanaoamini kwamba mwanamke anafanyiwa discriminated,,,,hizo ni hisia ndugu yangu,,,cha msingi ni kuweka usawa kwa watu wote,,,,ni sahii kabisa dhana ya kubaguana hipo ndani ya nchi hii,,,ukitaka kuamini nenda heslb saizi ujionee mwenyewe,,watu wenye ndugu pale wanakuja wanapiga cm,,walinzi unasikia tu mtu fulani ingia ndani,,,hiyo ni dalili gan?wakati kuna watu wamekuja asubuhi na mapema,,mpaka anaondoka ajaingia ndani!tutafika kweli namna hii?undugulism upo sana nchii,,,sijui mkuu wa nchi aoni?
 
Tatizo viongozi wetu wa sasa wamesahau kwamba wakati wao wanasoma Baba wa Taifa,Nyerere aliweka mazingira ya usawa kwa kila mtu mwenye sifa kupata elimu ya juu,,,nyerere aisee mungu amlaze pema peponi,,baba huyo,,,lakini ebu angalia maisha ya viongozi wetu wa sasa wanawakumbuka wananchi,,,mimi binafsi nilitegemea kauli ya serikali katika swala hilo la wanafunzi kukosa mikopo,,,uku wakikumbuka wao walisoma kwa kodi za wananchi.ni kosa kubwa sana kuingia madarakani na kuvaa miwani ya mbao kuangalia matatizo ya wananchi,,,,
 
Back
Top Bottom