Masalu Jacob
JF-Expert Member
- Jul 26, 2017
- 1,446
- 1,645
Mbona hapo Chamanzi, kivule, mkuranga yote imejaa ardhi? Mnahangaika nini?Habari Tanzania !
Sasa leo nataka kuwauliza hivi hakuna uwezekano wa kupata Viwanja vya kutosha; endapo tukifunika hiyo Bahari ya Hindi pale Kigamboni na Kurasini maana naona kama hilo eneo halina kazi alafu pia tunaweza kupata Eneo kubwa la nchi kavu vijana wakapata maeno ya kufanya Makazi au Uwekezaji pale au ninyi watu wa Dar es Salaam mnasemaje kwenye hilo?
Karibu.
Tunaizungumzia Dar sio huko Pwani akhaaaMbona hapo Chamanzi, kivule, mkuranga yote imejaa ardhi? Mnahangaika nini?
Kondo vipo viwanja vingi sana bei ni milioni kumi hatua ishirini kwa ishirini.Habari Tanzania !
Sasa leo nataka kuwauliza hivi hakuna uwezekano wa kupata Viwanja vya kutosha; endapo tukifunika hiyo Bahari ya Hindi pale Kigamboni na Kurasini maana naona kama hilo eneo halina kazi alafu pia tunaweza kupata Eneo kubwa la nchi kavu vijana wakapata maeno ya kufanya Makazi au Uwekezaji pale au ninyi watu wa Dar es Salaam mnasemaje kwenye hilo?
Karibu.
Umeandika kama ujinga ila kiukweli hilo jambo linawezekana.Habari Tanzania !
Sasa leo nataka kuwauliza hivi hakuna uwezekano wa kupata Viwanja vya kutosha; endapo tukifunika hiyo Bahari ya Hindi pale Kigamboni na Kurasini maana naona kama hilo eneo halina kazi alafu pia tunaweza kupata Eneo kubwa la nchi kavu vijana wakapata maeno ya kufanya Makazi au Uwekezaji pale au ninyi watu wa Dar es Salaam mnasemaje kwenye hilo?
Karibu.
Pemba mnazi ile imekaa kama mkuranga zaidi kuliko kigamboni.Kwan maeneo kigambon yameisha mpaka likafukiwe lile? Kigamboni mpak buyuni pemba mnaz huko viwanja mpaka milion kavu unapata
Huko porini usafiri shida mikona kibaoKondo vipo viwanja vingi sana bei ni milioni kumi hatua ishirini kwa ishirini.
HaaaaahaaaaaSijaelewa unataka ufukie bahari ya Hindi au?!
Mapori kibaha, bunju na bagamoyo yameisha? Unajua drainage system ya kilw road imekaaje?Pemba mnazi ile imekaa kama mkuranga zaidi kuliko kigamboni.
kurasini hapo ni mjini, naunga hoja survey ifanyike tufanye reclamation kama uholanzi
Mapori hayajaisha ila kibaha na bunju huko ni nje ya mji population ya kata ya mbagala tu huwezi kuifananisha na hizo wilaya za pwaniMapori kibaha, bunju na bagamoyo yameisha? Unajua drainage system ya kilw road imekaaje?
Naijua vizuri sana hasa hayo maeneo tajwa BossMapori kibaha, bunju na bagamoyo yameisha? Unajua drainage system ya kilw road imekaaje?
Kilwa road ina mito imekatiza upande mmoja kwenda upande wa pili. Assumption iliyopo maeneo ya Veta huku chango'mbe na mtoni mtongani maji yanaflow kuingia kurasini baharini. Unvyofanya reclamation ya ardhi unadisturb ile flow ni aidha utegemee mafuriko Chang'ombe kipindi cha mvua kubwa mana maji yale yatarundikana/yataflow kidogo kidogo sana nje ya inavyotakiwaMapori hayajaisha ila kibaha na bunju huko ni nje ya mji population ya kata ya mbagala tu huwezi kuifananisha na hizo wilaya za pwani
Drainage system ya kilwa road!!?? au unamaanisha drainage system ya temeke?
mitaro ya kilwa road na mandela road inapeleka maji baharini, sijui wewe unadoubt nini
Mpaka sasa?Kwan maeneo kigambon yameisha mpaka likafukiwe lile? Kigamboni mpak buyuni pemba mnaz huko viwanja mpaka milion kavu unapata
Yah! Mm mwaka 2023 nilinunu eneo mwasonga milion moja na laki 5 leo hii kun lami inaenda kuleMpaka sasa?