Tunaweza kuwa na kombe la muungano (April 26) kwa timu za taifa za bara (Tanganyika) na visiwani (Zanzibar) kwa wachezaji wa ligi za ndani tu?

Hivi hizi Simba "B" mara Yanga "B" bado zipogo tu? Wanalipwa kweli hao vijana wa "B"?
Hao vijana wa team "B" bila shaka wanacheza kwa ridhaa tu na hakuna chochote wanacholipwa.
 
Ubongo wako unautumia kwa kuwaza vitu visivyo na tija, nilijaribu kukufatilia lakini hakuna jipya ninaloweza kulisha ubongo wangu toka kwako
 
Samahani sikuwa nakuquote wewe
Tatizo lako unahangaika sana mdogo wangu. Leo upo jukwaa la siasa kesho jukwaa la michezo yaani haueleweki unataka nini humu JF.
 
Tatizo lako unahangaika sana mdogo wangu. Leo upo jukwaa la siasa kesho jukwaa la michezo yaani haueleweki unataka nini humu JF.
Duuu! Kwahiyo kuna limit humu ya kutembelea majukwaa?
 
Kombe la mapinduzi ni mfululizo wa mechi nyingi lakini kombe hili ni mechi moja tu ya timu za taifa.
Hiyo mechi itachezewa baharini? Labda mechi mbili, moja bara, marudiano Zenji.. maana mechi moja tu itahitaji "neutral ground"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…