Binti Abdullah
JF-Expert Member
- Aug 24, 2015
- 653
- 538
Labda anagawa bure utajuaje shoga yanguAkushobokee wewe una lipi la maana?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda anagawa bure utajuaje shoga yanguAkushobokee wewe una lipi la maana?
Kama anaigawa bure akauze Kimboka BuguruniLabda anagawa bure utajuaje shoga yangu
Mwambie anipe na mimi basi nionje hiyo K yake kama ina maji au kitu mnatoLabda anagawa bure utajuaje shoga yangu
Nimewagonga saaaaana mayala wa hapo Kimboka mzeeKama anaigawa bure akauze Kimboka Buguruni
Hiyo U17 ndio nini baba?Kombe la muungano napendekeza liwe ni fainali za u17 kwa mikoa bara na zanzibar.
Hizi timu za watoto bado zipogo tu?Kombe la muungano napendekeza liwe ni fainali za u17 kwa mikoa bara na zanzibar.
Wapinzani wanokosa adabu wanapotaka kujilinganisha na Rais Samia Huyu Samia ana uwezo mkubwa sana ujue?chadema kwa mara nyingine sera na ilani walichopanga kusema tayari Samia ameshafanya na anatarajia kufanya makubwa zaidi.
Nitaamrisha watoto wangu kila moja aite mtoto wake moja jina Samia Hili jina limejaa uzalendoWapinzani wanokosa adabu wanapotaka kujilinganisha na Rais Samia Huyu Samia ana uwezo mkubwa sana ujue?
Samia Mungu azidi kukulinda Rais wetuNitaamrisha watoto wangu kila moja aite mtoto wake moja jina Samia Hili jina limejaa uzalendo
Rais Samia kaza hapo hapo usigeuke nyuma, Watanzania wengi hawajui wanataka niniSamia Mungu azidi kukulinda Rais wetu
Samia miaka mitano tena .ameleta mabadiliko makubwa huyu mamaKama anaigawa bure akauze Kimboka Buguruni
Mkuu nakushauri tu uungane na Samia lasivyo October mtapokea kipigo cha mbwa mwizi.Samia miaka mitano tena .ameleta mabadiliko makubwa huyu mama
Kama miaka mitano tu Rais Samia ametupeleka uchumi wa kati je tukimpa miaka kumi mingine itakuwaje?Mkuu nakushauri tu uungane na Samia lasivyo October mtapokea kipigo cha mbwa mwizi.
Rais Samia anafaa aongezewe muda mpaka 2030 kwa maana anafanya mambo makubwa sana.Kama miaka mitano tu Rais Samia ametupeleka uchumi wa kati je tukimpa miaka kumi mingine itakuwaje?
Hili Kombe lilikuwepo Miaka ya nyuma. Lilikuwa linafanyika Sehemu moja Inaitwa Igowole Mufindi huko.Mambo vp JamiiForums
Sasa tunalo kombe la mapinduzi kwa vilabu kutoka Tanganyika na Zanzibar, kwanini tushindwe kuwa na kombe la muungano (April 26) mechi moja tu kwa timu za taifa za bara (Tanganyika) na visiwani (Zanzibar) kwa wachezaji wa ligi za ndani tu? Lilianza mwaka 1982 na kufa mwaka 2003.
Timu ya taifa ya Zanzibar
=====
Ninasema ni kombe la muungano kwa wachwzaji wa ligi za ndani nikiwa na maana mchezaji wa Zanzibar anayecheza ligi ya Tanganyika hatoitwa katika kikosi cha timu yake ya taifa na vivyo hivyo kwa mchezaji wa Tanganyika anayecheza ligi kuu ya Zanzibar.
Tunataka kuona viwango combination ya vijana wa Malindi, Mlandege, K.M.K.M, Kipanga na Jang'ombe Boys wakiwa wanacheza kwa pamoja. Ni wachezaji wa vilabu vya ndani tu, akina Samatta hatutawaita katika muktadha huu
HISTORIA NDOGO YA KOMBE LA MUUNGANO
==========
Ligi ya Muungano ilianza rasmi mwaka 1982 lengo ni kudumisha Muungano wetu na kutoa usawa wa kiuwakilishi katika michuano ya kimataifa ya vilabu, hii ni kutokana na Tanzania bara kuwa na ligi yake na Zanzibar kuwa na ligi yake.
Upande wa pili (Zanzibar) ukiwa sio mwanachama wa shirikisho la soka barani Africa caf, hivyo kukosa sifa ya timu zake kushiriki michuano ya vilabu bingwa africa na kombe la washindi (ilijulikana hivyo miaka hiyo).
Kwa kuwepo kwa ligi ya Muungano ambayo ilikuwa inajumlisha timu 3 zilizomaliza nafasi juu kwenye ligi husika basi timu kutoka Zanzibar nazo zilipata nafasi ya kuiwakilisha Jamhuri ya Muungano kwenye michuano ya CAF.
Moja ya timu iliyofanya vizuri sana kimataifa katika uhai wa miaka 21 ya michuano hiyo kwa upande wa Zanzibar ni timu ya Malindi.
Leo hii ni miaka 18 sasa tangu michuano ya ligi ya Muungano ife, michuano ambayo ilifanyika kwa miaka 21 mfululizo. Lakini kama wasemavyo wahenga "Tumbo la shari huzaa kheri" kwa namna moja iliwafungua macho Zanzibar kuomba uanachama CAF ili vilabu vyake vishiriki michuano ya kimataifa.
Sababu michuano hii ilikuwa inafanyika December nimeona sio vibaya tukakumbushana kidogo. Pale ambako unaona rekodi hazipo sawasawa unaweza kuwasiliana nami.
==========
SWALI: Tunaweza kuwa na kombe la muungano (April 26) kwa timu za taifa za wanaume bara (Tanganyika) na visiwani (Zanzibar) kwa wachezaji wa ligi za ndani tu?
USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
Rais Samia anafanya kazi kubwa saaaana huyu kipenzi chetu.Rais Samia anafaa aongezewe muda mpaka 2030 kwa maana anafanya mambo makubwa sana.
OkayRais Samia anafanya kazi kubwa saaaana huyu kipenzi chetu.