Tunaweza kuwa na kombe la muungano (April 26) kwa timu za taifa za bara (Tanganyika) na visiwani (Zanzibar) kwa wachezaji wa ligi za ndani tu?

chadema kwa mara nyingine sera na ilani walichopanga kusema tayari Samia ameshafanya na anatarajia kufanya makubwa zaidi.
 
chadema kwa mara nyingine sera na ilani walichopanga kusema tayari Samia ameshafanya na anatarajia kufanya makubwa zaidi.
Wapinzani wanokosa adabu wanapotaka kujilinganisha na Rais Samia Huyu Samia ana uwezo mkubwa sana ujue?
 
Hili Kombe lilikuwepo Miaka ya nyuma. Lilikuwa linafanyika Sehemu moja Inaitwa Igowole Mufindi huko.

Sijajua kama bado linaendelea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…