Tunaweza kuwa na kombe la muungano (April 26) kwa timu za taifa za bara (Tanganyika) na visiwani (Zanzibar) kwa wachezaji wa ligi za ndani tu?

Mechi moja hapana haiwezi kupanua mafunzo ya umahili kwa washiriki, mzunguko unakupa muda wa kujichunguza umejikwaa wapi na nini kifanyike kuliko kushiriki mara moja halafu basi haitakuwa na maana yoyete kama lengo ni kuimarisha ubora wa wachezaji na timu za taifa
Kama lengo kuu ni utalii na kuwafahamu washiriki basi hilo wazo lako linafaa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…