Tunawezaje kuigeuza hii hali ngumu ya uchumi kuwa fursa?

Tufanyeje? Actions speaks louder than words
ukweli ni kuwa hata wananchi tujitahidi vipi ila kama utawala tuliouweka madarakani hauchangii kuleta chachu ya maendeleo ni kazi bure!
hatua kubwa zaidi ni mabadiliko ya lazima ya watunga sera za nchi..
 
Nimeamua kuitumia hii kama fursa na kuanzisha MICROFINANCE CO. na kujikita zaidi kwa watumishi wa umma sitaki mfanyabiashara. Japo kuna changamoto lkn naamini baada ya miaka miwili au mitatu nitakua ktk hali nzuri kwa mtaji nilioanza nao
 
Tafu
Kuna watu wanakuambia changamkia fursa, kipindi hiki hali ngumu.. Unajiuliza kama purchasing power imepungua, uchangamkie fursa ipi ambayo haijaguswa na mdororo huu..?
Tafuta uzi wa the LIST ameorodhesha biashara zilizo na purchasing power
 
Hudhuria sana semina za motivational spekaers zitakusaidia kubadili attitude.
 
umemsikiliza Mengi jana? Wafanyabiashara mashuhuri hufurahia hali nii kwan ushindani hupungua wanabaki mapapa tu!
Mengi huyu huyu ambaye siku hizi vyombo vyake vya habari vimekuwa kama tbccm , huon kwamba hata kwake vyuma vimebana imebidi atangaze taarifa za kumsifia magufuli na serikal yake mwanzo mwsho
 
ukweli ni kuwa hata wananchi tujitahidi vipi ila kama utawala tuliouweka madarakani hauchangii kuleta chachu ya maendeleo ni kazi bure!
hatua kubwa zaidi ni mabadiliko ya lazima ya watunga sera za nchi..
Sekta binafsi ikifa hata Pato La taifa linaathirika,kanuni ya kusoma namba ni lazima hata mgawa namba aisome naye pia.Vyuma vikikaza ukaza pote hadi kwenye hazina kuu.
 
sekta binafsi siku zote ndiyo hubeba nchi na huweza kufanya hivyo tu kama kuna tawala stahiki
 
Sayansi zingine za uchumi sijui huwa za wapi hakuna theory ya kuzuia mzunguko kisha wenzio tu ndo wapate hasara,ukizuia mzunguko mnaathirika wote. Utaleta ndege hakuna wenye kuweza kupanda zaidi zitazalisha hasara,ambayo itakuwa mzigo kuiendesha.Sekta binafsi ndo ukuza pato La taifa,Hazina itune inabidi kodi inapitakane toka sekta binafsi,hivo sekta binafsi zikifa kodi haitopatikana,maendeleo yatasimama yakisimama maisha yatakuwa magumu,yakiwa magumu wananchi wataimba wimbo mmoja wakiimba wimbo mmoja wataamua kuondoa utawala uletao hayo.Hizo ndo kanuni za uchumi.Ukigawa namba Kwa wasomaji lazima mgawa namba nawe uisome namba. Maana huwezi kusanya kodi kwa masikini,Investor wao wanaexposure watahamisha mitaji kuweka Kwa Jirani kwenye unafuu.Kama baadhi walivoona sekta ya transit longolongo nyingi waliyahamisha na kuyasajili malori yao nchi za jirani, wanaendelea na biashara zao km kawaida.Sisi tunaloose kupoteza ajira na kodi jirani zetu wanagain kupata kodi na ajira.
 
ni ukosefu wa elimu na hekima ndiyo uliotufikisha hapa! kwenye uchumi wa nchi hakuna kitu kinachojitegemea chenyewe vitu vyote vinategemeana. hatukatai kuwa kununua ndege,kujenga viwanja vya ndege & fly overs ni maendeleo ila sio maendeleo pekee! matokeo yake watu wenye uwezo wa kupanda hizo ndege wanazidi kupungua kila kukicha...makampuni yanapunguza wafanyakazi kila tuamkavyo ilhali huku mtaani tumejaa tele tusio na ajira!
bado anajinasibu analeta maendeleo. hakuna nchi iliyopata kuendelea pasipokuwa na sekta binafsi imara kamwe!
 
Sera za uchumi kama hizi zilishindwa Vietnam miaka 60 na nchi za ujamaa kama China wakazitupilia mbali wakaona bila sekta binafsi huwezi songa, China ikakuza sekta binafsi na kuwawezesha Kwa mitaji na mikopo watu wake wawekeze popote duniani panapofaa
 
Back
Top Bottom