Tunawezaje kuigeuza hii hali ngumu ya uchumi kuwa fursa?

Sera za uchumi kama hizi zilishindwa Vietnam miaka 60 na nchi za ujamaa kama China wakazitupilia mbali wakaona bila sekta binafsi huwezi songa, China ikakuza sekta binafsi na kuwawezesha Kwa mitaji na mikopo watu wake wawekeze popote duniani panapofaa
na matokeo yake hakuna asiyeyajua duniani. sisi tunarudisha nyuma hata zile hatua chache tulizokwisha zipiga
 
Naombeni michango yenu
The list kaelezea vizuri ktk uzi wake, utafute mkuu.
Anadai uchumi ukidorora watu huacha mambo yasiyo ya lazima na kudeal na mambo ya msingi tu. Mwisho anashauri ktk kipindi km hiki watu kuwekeza kwenye matumbo ya watu (chakula), mavazi na urembo, mpira (betting, video games, hata vibanda vya kuonyeshea mpira) na pombe
 
asante sana mpendwa
 
Tmuller ulinielewa vizuri sana..

-Nimefarijika pia kuwa hujawa ma kinyongo ku-share ulichokipata katika uzi ule.

-Umeonyesha moyo wa imani na nia ya kuona wenzako wakifanikiwa hasa nikichukulia muda uliotumia kumuorodheshea biashara hizo..pengine labda mwingine angemuambia 'tafuta uzi'.

-Tuna nafasi nzuri sana kama vijana wakitanzania kuweza kuikuza na kufaidika vyema kupitia sekta ya ujasiriamali.

-Hii sekta bado changa na fursa nyingi zilizopp bado watu hawajaanza kuzitumia..

keep grinding!

Bujibuji nimeitikia wito na nafikiri Tmuller kamaliza kila kitu apo.

-Nilikuwa na ya kuchangia lakini kila nikijaribu kutafakari naona uzi kama una maudhui ya kisiasa.

-Na kwa sisi wajasiriamali lugha yetu kuu ni 'namba'..malalamiko na vigeregere vya hali ya uchumi imekuaje tunawaachia wanasiasa.
nimeutafuta ule Uzi, nimeusoma wote, kwa kweli umejaa madini mazito, Mercury nyekundu halisi.
Nashukuru sana
 
Tmuller ulinielewa vizuri sana..

-Nimefarijika pia kuwa hujawa ma kinyongo ku-share ulichokipata katika uzi ule.

-Umeonyesha moyo wa imani na nia ya kuona wenzako wakifanikiwa hasa nikichukulia muda uliotumia kumuorodheshea biashara hizo..pengine labda mwingine angemuambia 'tafuta uzi'.

-Tuna nafasi nzuri sana kama vijana wakitanzania kuweza kuikuza na kufaidika vyema kupitia sekta ya ujasiriamali.

-Hii sekta bado changa na fursa nyingi zilizopp bado watu hawajaanza kuzitumia..

keep grinding!

Bujibuji nimeitikia wito na nafikiri Tmuller kamaliza kila kitu apo.

-Nilikuwa na ya kuchangia lakini kila nikijaribu kutafakari naona uzi kama una maudhui ya kisiasa.

-Na kwa sisi wajasiriamali lugha yetu kuu ni 'namba'..malalamiko na vigeregere vya hali ya uchumi imekuaje tunawaachia wanasiasa.
Uliandika vizuri mkuu, kizuri hujiuza! Mola akubariki sana.
 
Nimeamua kuitumia hii kama fursa na kuanzisha MICROFINANCE CO. na kujikita zaidi kwa watumishi wa umma sitaki mfanyabiashara. Japo kuna changamoto lkn naamini baada ya miaka miwili au mitatu nitakua ktk hali nzuri kwa mtaji nilioanza nao
Umeanza na mtaji kiasi gani
 
Naombeni michango yenu
Wakati wa GED miaka ya mwisho ya muongo wa 1920 watu walikua hawana kazi, hali ilikua mbaya zaidi kwa wanaume kuliko wanawake. Lakini pamoja na hali ngumu iliyokuwepo biashara inayohusu chakula peke yake ndo haikuathirika. Kwahiyo kama una nafasi ya kufanya biashara inayohusu chakula anza mzigo.
 
Fursa ni km embe wakati wewe unasubiri liive, wenzio wanalia na chumvi [emoji16]
 
Nimeamua kuitumia hii kama fursa na kuanzisha MICROFINANCE CO. na kujikita zaidi kwa watumishi wa umma sitaki mfanyabiashara. Japo kuna changamoto lkn naamini baada ya miaka miwili au mitatu nitakua ktk hali nzuri kwa mtaji nilioanza nao
Umeanza na mtaji wa kiasi gani mkuuu...
Na changamoto mpaka sasa unazokutana nazo ni zip
 
Nimeamua kuitumia hii kama fursa na kuanzisha MICROFINANCE CO. na kujikita zaidi kwa watumishi wa umma sitaki mfanyabiashara. Japo kuna changamoto lkn naamini baada ya miaka miwili au mitatu nitakua ktk hali nzuri kwa mtaji nilioanza nao
Kumekuwa na wimbi la uanzishwaji wa biashara hii hasa ktk awamu hii..nadhani hii inaakisi uhaba wa fedha mifukoni mwa watu
 
Sijui but fursa pekee ya uhakika inayolipa ni unafiki wa kujipendekeza CCM!
 
Nimeamua kuitumia hii kama fursa na kuanzisha MICROFINANCE CO. na kujikita zaidi kwa watumishi wa umma sitaki mfanyabiashara. Japo kuna changamoto lkn naamini baada ya miaka miwili au mitatu nitakua ktk hali nzuri kwa mtaji nilioanza nao
Naona kama unadhamiria kuwakwapua.. Maana microfinance inafanya vizuri kwenye uchumi ambao middle class wanashamiri..

Kwa sasa utashuhudia default nyingi sana ..kukua kwako kutategemea sana uwezo wako wa kukusanya madeni...hasa kuwa na roho kama simba kwa wanaoshindwa kulipa na ndio wengi.
 
Kabla mchina ajatengeneza boda boda aliangalia tatizo la ajira kwa vijana
 
Naona kama unadhamiria kuwakwapua.. Maana microfinance inafanya vizuri kwenye uchumi ambao middle class wanashamiri..

Kwa sasa utashuhudia default nyingi sana ..kukua kwako kutategemea sana uwezo wako wa kukusanya madeni...hasa kuwa na roho kama simba kwa wanaoshindwa kulipa na ndio wengi.
Microfinance ni changamoto kwenye marejesho unaweza kujikuta umefilisika
 
Back
Top Bottom