Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Hiki ni kipindi kizuri sana kupiga hela.umemsikiliza Mengi jana? Wafanyabiashara mashuhuri hufurahia hali nii kwan ushindani hupungua wanabaki mapapa tu!
naunga mkono hoja...umemsikiliza Mengi jana? Wafanyabiashara mashuhuri hufurahia hali nii kwan ushindani hupungua wanabaki mapapa tu!
Tufanyeje? Actions speaks louder than wordsnaunga mkono hoja...
hiki ndicho kipindi cha monopoly kuongezeka.
ukweli ni kuwa hata wananchi tujitahidi vipi ila kama utawala tuliouweka madarakani hauchangii kuleta chachu ya maendeleo ni kazi bure!Tufanyeje? Actions speaks louder than words
Tafuta uzi wa the LIST ameorodhesha biashara zilizo na purchasing powerKuna watu wanakuambia changamkia fursa, kipindi hiki hali ngumu.. Unajiuliza kama purchasing power imepungua, uchangamkie fursa ipi ambayo haijaguswa na mdororo huu..?
hahaaaaNi kuhamia nchi yenye hali nzuri ya kiuchumi
Mengi huyu huyu ambaye siku hizi vyombo vyake vya habari vimekuwa kama tbccm , huon kwamba hata kwake vyuma vimebana imebidi atangaze taarifa za kumsifia magufuli na serikal yake mwanzo mwshoumemsikiliza Mengi jana? Wafanyabiashara mashuhuri hufurahia hali nii kwan ushindani hupungua wanabaki mapapa tu!
Sekta binafsi ikifa hata Pato La taifa linaathirika,kanuni ya kusoma namba ni lazima hata mgawa namba aisome naye pia.Vyuma vikikaza ukaza pote hadi kwenye hazina kuu.ukweli ni kuwa hata wananchi tujitahidi vipi ila kama utawala tuliouweka madarakani hauchangii kuleta chachu ya maendeleo ni kazi bure!
hatua kubwa zaidi ni mabadiliko ya lazima ya watunga sera za nchi..
sekta binafsi siku zote ndiyo hubeba nchi na huweza kufanya hivyo tu kama kuna tawala stahikiSekta binafsi ikifa hata Pato La taifa linaathirika,kanuni ya kusoma namba ni lazima hata mgawa namba aisome naye pia.Vyuma vikikaza ukaza pote hadi kwenye hazina kuu.
Sayansi zingine za uchumi sijui huwa za wapi hakuna theory ya kuzuia mzunguko kisha wenzio tu ndo wapate hasara,ukizuia mzunguko mnaathirika wote. Utaleta ndege hakuna wenye kuweza kupanda zaidi zitazalisha hasara,ambayo itakuwa mzigo kuiendesha.Sekta binafsi ndo ukuza pato La taifa,Hazina itune inabidi kodi inapitakane toka sekta binafsi,hivo sekta binafsi zikifa kodi haitopatikana,maendeleo yatasimama yakisimama maisha yatakuwa magumu,yakiwa magumu wananchi wataimba wimbo mmoja wakiimba wimbo mmoja wataamua kuondoa utawala uletao hayo.Hizo ndo kanuni za uchumi.Ukigawa namba Kwa wasomaji lazima mgawa namba nawe uisome namba. Maana huwezi kusanya kodi kwa masikini,Investor wao wanaexposure watahamisha mitaji kuweka Kwa Jirani kwenye unafuu.Kama baadhi walivoona sekta ya transit longolongo nyingi waliyahamisha na kuyasajili malori yao nchi za jirani, wanaendelea na biashara zao km kawaida.Sisi tunaloose kupoteza ajira na kodi jirani zetu wanagain kupata kodi na ajira.sekta binafsi siku zote ndiyo hubeba nchi na huweza kufanya hivyo tu kama kuna tawala stahiki
ni ukosefu wa elimu na hekima ndiyo uliotufikisha hapa! kwenye uchumi wa nchi hakuna kitu kinachojitegemea chenyewe vitu vyote vinategemeana. hatukatai kuwa kununua ndege,kujenga viwanja vya ndege & fly overs ni maendeleo ila sio maendeleo pekee! matokeo yake watu wenye uwezo wa kupanda hizo ndege wanazidi kupungua kila kukicha...makampuni yanapunguza wafanyakazi kila tuamkavyo ilhali huku mtaani tumejaa tele tusio na ajira!Sayansi zingine za uchumi sijui huwa za wapi hakuna theory ya kuzuia mzunguko kisha wenzio tu ndo wapate hasara,ukizuia mzunguko mnaathirika wote. Utaleta ndege hakuna wenye kuweza kupanda zaidi zitazalisha hasara,ambayo itakuwa mzigo kuiendesha.Sekta binafsi ndo ukuza pato La taifa,Hazina itune inabidi kodi inapitakane toka sekta binafsi,hivo sekta binafsi zikifa kodi haitopatikana,maendeleo yatasimama yakisimama maisha yatakuwa magumu,yakiwa magumu wananchi wataimba wimbo mmoja wakiimba wimbo mmoja wataamua kuondoa utawala uletao hayo.Hizo ndo kanuni za uchumi.Ukigawa namba Kwa wasomaji lazima mgawa namba nawe uisome namba. Maana huwezi kusanya kodi kwa masikini,Investor wao wanaexposure watahamisha mitaji kuweka Kwa Jirani kwenye unafuu.Kama baadhi walivoona sekta ya transit longolongo nyingi waliyahamisha na kuyasajili malori yao nchi za jirani, wanaendelea na biashara zao km kawaida.Sisi tunaloose kupoteza ajira na kodi jirani zetu wanagain kupata kodi na ajira.
Sera za uchumi kama hizi zilishindwa Vietnam miaka 60 na nchi za ujamaa kama China wakazitupilia mbali wakaona bila sekta binafsi huwezi songa, China ikakuza sekta binafsi na kuwawezesha Kwa mitaji na mikopo watu wake wawekeze popote duniani panapofaani ukosefu wa elimu na hekima ndiyo uliotufikisha hapa! kwenye uchumi wa nchi hakuna kitu kinachojitegemea chenyewe vitu vyote vinategemeana. hatukatai kuwa kununua ndege,kujenga viwanja vya ndege & fly overs ni maendeleo ila sio maendeleo pekee! matokeo yake watu wenye uwezo wa kupanda hizo ndege wanazidi kupungua kila kukicha...makampuni yanapunguza wafanyakazi kila tuamkavyo ilhali huku mtaani tumejaa tele tusio na ajira!
bado anajinasibu analeta maendeleo. hakuna nchi iliyopata kuendelea pasipokuwa na sekta binafsi imara kamwe!
Somalia?Ni kuhamia nchi yenye hali nzuri ya kiuchumi
My attitude, how?Hudhuria sana semina za motivational spekaers zitakusaidia kubadili attitude.