- Thread starter
- #21
Ila sijui ianzeje tu - akina Nape ndiyo wali[aswa waoneshe umahiri wao. Wakomae hata kupeleka hoja binafsi bungeni - yaani hawa wanasiasa wa CCM wote koro-dani zimejificha ndani kule kama vile Dodoma kuna baridi ya Makambako!Hapo pagumu...