Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
Kumbe memorial ya mauwaji haya ndio tunachomekewa kuwa birthday ya mama wa Kizimkazi.TUNAYOPENDA TUSAHAU
Kuna mambo wala huhitaji kuyaeleza.
Huhitaji kueleza historia ya Auschwitz.
Dunia nzima inaijua.
Kitabu hiki ni muhimu katika kuijua historia ya mauaji haya ya tarehe 26 na 27 Januari 2001.
Kitabu hiki alinipa Prof. Lipumba na aliniandikia alichotaka nifanye baada ya kukisoma.
View attachment 2885184
View attachment 2885185
View attachment 2885186
Yule MNazi alitaka kuwapoteza Jews wote Dunia nzima?Kumbe memorial ya mauwaji haya ndio tunachomekewa kuwa birthday ya mama wa Kizimkazi.
Ila Lipumba ni Msaliti, ni Profesa wahovyo kabisa akifuatiwa na Profesa Kabudi.
Mohamed, unajisikiaje kupost vitu vyenye uelekeo wa kupalilia chuki kwa misingi ya imani za kidini? Hayo mauaji unayoyafanyia reference, unatuletea hizo picha mulizogawiana na Lipumba gesti ili iweje? Nijuwavyo Lipumba ni kiongozi wa chama cha siasa kumbe uchochoroni ni gaidi anaejaribu kueneza chuki za kidini, siyo? Too low for a Prof. to behave such way.TUNAYOPENDA TUSAHAU
Kuna mambo wala huhitaji kuyaeleza.
Huhitaji kueleza historia ya Auschwitz.
Dunia nzima inaijua.
Kitabu hiki ni muhimu katika kuijua historia ya mauaji haya ya tarehe 26 na 27 Januari 2001.
Kitabu hiki alinipa Prof. Lipumba na aliniandikia alichotaka nifanye baada ya kukisoma.
View attachment 2885184
View attachment 2885185
View attachment 2885186
Mbussi,Mohamed, unajisikiaje kupost vitu vyenye uelekeo wa kupalilia chuki kwa misingi ya imani za kidini? Hayo mauaji unayoyafanyia reference, unatuletea hizo picha mulizogawiana na Lipumba gesti ili iweje? Nijuwavyo Lipumba ni kiongozi wa chama cha siasa kumbe uchochoroni ni gaidi anaejaribu kueneza chuki za kidini, siyo? Too low for a Prof. to behave such way.
Kwenye post yako moja ya Rais kupewa mwaliko Vatican unahusisha mwaliko huo na maswala ya bandari na mikataba ya DPW, na umejaribu kujitungia na kueleza vitu vya hovyo kabisa. Hivi wewe ukoje? Unadhani huko Vatican wana shida na hizi bandari zenu? TEC ni Baraza la maaskofu hapa Tanzania, si Baraza la Vatican na Chadema ni chama cha siasa hakina uhusiano ama na Ukatoliki au dini yoyote, iweje uwafungamanishe hata kama hoja zao zilikuwa za aina moja kwenye kupinga mkataba wa hovyo ambao serikali ilitaka kuingia na hiyo kampuni.
Mohamed, pale mlipopiga picha na Lipumba panaonekana kama guest house. Lakini hiyo siyo hoja.Mbussi,
"Picha muluzogawana na Lipumba gesti."
Unapoandika ukiwa una ghadhab lugha inakuwa si ya kiungwana
Hizo si photographs.
Moja ni cover ya kitabu na hiyo nyingine gamba la ndani na maneno aliyoniandikia.
Mbussi,Mohamed, pale mlipopiga picha na Lipumba panaonekana kama guest house. Lakini hiyo siyo hoja.
Cover photo ya hicho kitabu inapalilia chuki na kama sikosehi kinachoongelewa hapa ni mauaji yaliyotokana na fujo za Mwembechai - Magomeni. Ni bahati nzuri niseme huu ulikuwa ni utawala wa Mwinyi.
Viongozi wa kisiasa waliofilisika sera na kutaka kutumia dini kama mtaji wa kisiasa, walijaribu kulikuza jambo hili ili kuonyesha kuwa hayo mauaji yalitokana na chuki za kidini hasa ukatoriki na uslam.
Hebu niambie Mohammed, picha ya huo mwili kwenye cover, kama ni ndugu wako wa karibu, utajisikiaje ikisambazwa ktk hali hiyo?
Nashidwa kuelewa ni kwanini Prof. Lipumba msomi na mwanasiasa wa muda mrefu alivyoshawishika kuwa agent wa kusambaza vitu kama hivi. Ni kutonesha vidonda na kukwangua upya madonda ya mioyo iliyoanza kupona.
Ohooo sawa Mohamed, angalia sasa misimamo yako dhidi ya imani nyingine ilipelekea niwaze Mwembechai. Kwa vyovyote vile si vyema kutumia hii cover photo kwenye hicho kitabu, na si vyema kuandika story na kuiachia njiani kama ulivyofanya kwenye hili bandiko.Mbussi,
Mimi nimeandika kuhusu mauaji ya Pemba ya mwaka 2001.
Na huko guest mulienda kufanya nini ninyi wapemba?Mbussi,
Mimi nimeandika kuhusu mauaji ya Pemba ya mwaka 2001.
Mbussi,Ohooo sawa Mohamed, angalia sasa misimamo yako dhidi ya imani nyingine ilipelekea niwaze Mwembechai. Kwa vyovyote vile si vyema kutumia hii cover photo kwenye hicho kitabu, na si vyema kuandika story na kuiachia njiani kama ulivyofanya kwenye hili bandiko.
Ohooo sawa Mohamed, angalia sasa misimamo yako dhidi ya imani nyingine ilipelekea niwaze Mwembechai. Kwa vyovyote vile si vyema kutumia hii cover photo kwenye hicho kitabu, na si vyema kuandika story na kuiachia njiani kama ulivyofanya kwenye hili bandiko.
Na huko guest mulienda kufanya nini ninyi wapemba?
Shida yako ni moja bwana Said, umeokoteleza hizi picha za Nyerere alizopiga na Waislam ili iweje? Huyo Nyerere kipindi anajiunga na chama kupigania uhuru hakukuwa na Wakiristo, mbona huleti picha zao? Kupiga picha na mtu kwenye tukio fulani ni jambo la kawaida ila wewe unataka kutuaminisha kila picha iliyopigwa ni ya harakati za kutafuta Uhuru, kitu ambacho kinaweza kisiwe kweli. Alafu unaporudia tena na tena watu tusome kitabu cha Sykes, unashawishi vipi kuwa yeye Sykes hakupika hiyo story kuvutia upande wake?View attachment 2891227
Baraza la Wazee wa TANU 1957
View attachment 2891228
Mshume Kiyate na Julius Nyerere 1964
View attachment 2891233
Kulia Haruna Taratibu, Saadan Abdu Kandoro, Julius Nyerere, Sheikh Mohamed Ramiyya na Iddi Faiz Mafungo
Mbussi,Shida yako ni moja bwana Said, umeokoteleza hizi picha za Nyerere alizopiga na Waislam ili iweje? Huyo Nyerere kipindi anajiunga na chama kupigania uhuru hakukuwa na Wakiristo, mbona huleti picha zao? Kupiga picha na mtu kwenye tukio fulani ni jambo la kawaida ila wewe unataka kutuaminisha kila picha iliyopigwa ni ya harakati za kutafuta Uhuru, kitu ambacho kinaweza kisiwe kweli. Alafu unaporudia tena na tena watu tusome kitabu cha Sykes, unashawishi vipi kuwa yeye Sykes hakupika hiyo story kuvutia upande wake?
Narudia tena kusema, hao Waislam kama ilivyokuwa kwa Wakristo na wasio na dini walipigania Uhuru kwasababu ya Utanganyika wao siyo kwasababu ya dini zao. Ukitofautisha hivi vitu utakaa kwa amani sana.Si
OkMbussi,
"Picha muluzogawana na Lipumba gesti."
Unapoandika ukiwa una ghadhab lugha inakuwa si ya kiungwana
Hizo si photographs.
Moja ni cover ya kitabu na hiyo nyingine gamba la ndani na maneno aliyoniandikia.
Tena gesti ya uswazi, huu uprofesa hiiii
Kwa maana hiyo mzee Said uliipenda CUF kwa kuwa Viongozi wake wote ni Waislam? Tuambie Ushawishi wa Lipumba ktk siasa za Tanzania uliishia wapi?Prof. Ibrahim Lipumba ni msomi wa kutajika katika kundi kubwa lolote la wasomi popote pale duniani.
Prof. Lipumba aliingia katika siasa mwaka wa 1995 si kwa mapenzi yake bali kwa kuchagizwa na marafiki zake kufuatia kifo cha ghafla cha Prof. Kighoma Malima.
Mwaka wa 1995 aligombea urais kwa tiketi ya CUF na kuanzia hapo aliweza kuijenga CUF kufikia kuwa chama chenye nguvu.
Lakini kubwa katika historia ya vyama vya siasa Tanzania ni kule CUF Bara kwa wakati ule kutia nguvu kubwa katika siasa za visiwani na kuifanya CUF chama pekee katika vyama vya upinzani ukiondoa CCM, chenye wafuasi wengi Tanzania Visiwani na Tanzania Bara.
Hakuna chama chochote Bara ambacho kimeweza kutimiza hili.
Katika haya yote mchango wa Prof. Lipumba ulikuwa mkubwa sana usio na kifani.
(Mohamed Said Historia, Siasa na Maendeleo Tanzania August 22, 2016 0)
View attachment 2891363
Prof. Lipumba wa kwanza kushoto, Shekue Pashua na wanachama wa CUF nyumbani kwa Mama Ummi bint Anzuani (aliyevaa nguo nyekundu) Tanga 1995
Mbussi,Kwa maana hiyo mzee Said uliipenda CUF kwa kuwa Viongozi wake wote ni Waislam? Tuambie Ushawishi wa Lipumba ktk siasa za Tanzania uliishia wapi?
Udini wake na usaliti vilimfanya aonekane mtu wa hovyo katika siasa za Tanzania.