Tunazeeka kwa kasi. Wale wa 1985 sasa ni miaka 40

Tunazeeka kwa kasi. Wale wa 1985 sasa ni miaka 40

Bongo ilivo ya ajabu,
Kuna Watu bado wanaamini
JANUARY MAKAMBA nae Ni kijana😊
Wa umri wake aliocheza nao ila walikosa fursa za kula asali saa hizi ni vizee vya kuogopewa kwenye kamati za kupaa na ungo.

Angekuwa kijijini saa hizi angeitwa Mzee January, ila mjini anaitwa kiongozi kijana. Kijana wa miaka 50😂
 
Miaka inavyo kwenda ipo kinyume sana na uhalisia labda ngoja niwafungue kitu msicho kifahamu nahapa nimpaka akili kubwa ndio itanielewa.
Wazee wazamani tulio ambiwa na kusoma katika vitabu vya dini vilisema kwamba zaman watu waliishi mpaka miaka 900 lakini tazama kwamba hatawao mtu alikua akifa anamiaka
300👈😂 walisikitika sana kwamba kafa bado akiwa mtoto kabisa🤔🤔
Ila sasa njoo kwenye uhalisia ambao sisi ndio tunauona nakujiona kua niwatu walio endelea je? Nikweli miaka300 alikufa akiwa nimtoto????
Je unadhani kama niuongo hivi haya tunayosoma,kuskia, na kuyaishi hivi unadhani upo kwenye hatari kiasi gani kua unacho tambua kuhusu dunia hii nimambo ya uongo na hayapo????????
 
Back
Top Bottom