Tunazeeka, ukipata nafasi fanya mambo yako kwa haraka

Stroke

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2012
Posts
37,630
Reaction score
47,434
Wakuu,

Ama kweli miaka inakatika.

Nimekutana na washkaji zangu yaani 80% wana viapra na mvi.

Uzee tayari.

Kijana, ukipata nafasi, fanya mambo yako chap kwa haraka, umri haukusubiri.

OA , KUWA NA WATOTO MAPEMA SANA, WEKEZA NA FURAHIA MAISHA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…