Tunazeeka, ukipata nafasi fanya mambo yako kwa haraka

Tunazeeka, ukipata nafasi fanya mambo yako kwa haraka

Wakuu,

Ama kweli miaka inakatika.

Nimekutana na washkaji zangu yaani 80% wana viapra na mvi.

Uzee tayari.

Kijana, ukipata nafasi, fanya mambo yako chap kwa haraka, umri haukusubiri.

OA , KUWA NA WATOTO MAPEMA SANA, WEKEZA NA FURAHIA MAISHA.
Tatizo ndalama mwanawane, ndalama.
Hamna asiependankupata mke mapema na kuwanyupo vizuri ujanani.
System inatufelisha sana...
 
mzee mwenzenu nimekojozwa chap apoo jijiniii juzi katii....ila kiuno sasaaa dah, kinaumaa napakaa vicks kingoo
 
Oya wazee hivi mavuzi nayo yanageuka kuwa mvii?
binafsi nmezeeekaaa ila nawapenda sn gen zz....wataamuu jmnnn
Gf4vW-5WIAAhppX.jpeg
 
Back
Top Bottom