Jane Lowassa
JF-Expert Member
- May 10, 2016
- 4,955
- 9,041
Dr Slaa apunguze KonyagiUmri ni namba na uzee ni hisia zako tu [emoji1]
😂 Aah leo mmenichekesha humu auseeMi nikiamkiwa na vitoto vya shule huwa najibu "asante". Shikamoo inazeesha sana
kumbuka kuwa ama hao ni sawa na wanao au wajukuu zakoVibinti vina tatizo gani?
Na huyo mzee ana stress za kukimbiwa na yuke mkeweDr Slaa apunguze Konyagi
40Kwani uzee unaanzia miaka mingapi ndugu?
Tatizo ndalama mwanawane, ndalama.Wakuu,
Ama kweli miaka inakatika.
Nimekutana na washkaji zangu yaani 80% wana viapra na mvi.
Uzee tayari.
Kijana, ukipata nafasi, fanya mambo yako chap kwa haraka, umri haukusubiri.
OA , KUWA NA WATOTO MAPEMA SANA, WEKEZA NA FURAHIA MAISHA.
KULA KWA AFYA,OA , KUWA NA WATOTO MAPEMA SANA, WEKEZA NA FURAHIA MAISHA.
binafsi nmezeeekaaa ila nawapenda sn gen zz....wataamuu jmnnnOya wazee hivi mavuzi nayo yanageuka kuwa mvii?