Naton Jr
JF-Expert Member
- Oct 5, 2016
- 7,867
- 19,250
Ilijengeka dhana kwamba lazima KQ ndio isafirishe matunda yetu nje ya nchi na bila wao ni ngumu kwa Tanzania kuhudumia masoko ya nje.
Lakini imekua kinyume na mentality ya wengi, licha ya kwamba bado tunawahudumia wakenya kwa Parachichi nyingi tu zaidi ya 90% ya their total export lakini bado tumefanikiwa kutoboa kwenye masoko mapya bila wao.
Hizi ni pictures za hivi Karibuni wakati KQ ipo grounded, kwa kutumia ndege za UAE zenye direct flights to Tanzania tumefanikiwa kutoboa na demand bado ni kubwa sio kawaida.
Nimefurahi pia kuona namna watanzania wanavyotambaa na fursa, huyu kijana analima Parachichi kwa ukubwa wa counties 3 za Kenya and he's just 23