Tunazidi kupaa bila KQ

Tunazidi kupaa bila KQ

Naton Jr

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2016
Posts
7,867
Reaction score
19,250
Ilijengeka dhana kwamba lazima KQ ndio isafirishe matunda yetu nje ya nchi na bila wao ni ngumu kwa Tanzania kuhudumia masoko ya nje.

Lakini imekua kinyume na mentality ya wengi, licha ya kwamba bado tunawahudumia wakenya kwa Parachichi nyingi tu zaidi ya 90% ya their total export lakini bado tumefanikiwa kutoboa kwenye masoko mapya bila wao.

Hizi ni pictures za hivi Karibuni wakati KQ ipo grounded, kwa kutumia ndege za UAE zenye direct flights to Tanzania tumefanikiwa kutoboa na demand bado ni kubwa sio kawaida.

EefdjCWXYAIziWw.jpg
Eeff0hKWsAAduOC-1.jpg

Nimefurahi pia kuona namna watanzania wanavyotambaa na fursa, huyu kijana analima Parachichi kwa ukubwa wa counties 3 za Kenya and he's just 23

 
Huwezi linganisha kiasi mnachoexport na kile ambacho sisi tunaexport. Sisi tunaexport mara kadhaa kuwashinda. Nyie ndio mumeanza tu. Sisi tumekuwa tukiexport avocado kwa miaka nyingi sasa. Endelea kucheka cheka tu.
 
Huwezi linganisha kiasi mnachoexport na kile ambacho sisi tunaexport. Sisi tunaexport mara kadhaa kuwashinda. Nyie ndio mumeanza tu. Sisi tumekuwa tukiexport avocado kwa miaka nyingi sasa. Endelea kucheka cheka tu
Unajua sisi tuna anza ku export toka Tanzania to Kenya kwa madalali, then ndo tunafikiria nje. Ila mnavyozidi kutukera, tutahakikisha tunasafirisha wenyewe.

 
Unajua sisi tuna anza ku export toka Tanzania to kenya kwa madalali, then ndo tunafikiria nje. Ila mnavyozidi kutukera, tutahakikisha tunasafirisha wenyewe.

Dawa ya mtu asiye na adabu ni kumtia makwenzi tu.
Hawa tunachukua tenda sisi wenyewe.utashangaa kabla ya oct,uhuru katia timu bongo[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huwezi linganisha kiasi mnachoexport na kile ambacho sisi tunaexport. Sisi tunaexport mara kadhaa kuwashinda. Nyie ndio mumeanza tu. Sisi tumekuwa tukiexport avocado kwa miaka nyingi sasa. Endelea kucheka cheka tu
Wanunuzi wanakuja Tanzania wenyewe sababu wanajua ninyi madalali tu na sio walimaji
Screenshot_20200804-174636~2.png
 
Yote sema, lakini kuwazidi uchumi Kenya hapo unaota, wako mbali sana. Hata kwa jicho la economic layman, angalia thamani ya Ksh against the dollar. Sisi tuna maliasili untapped, Ila matajiri wa siasa.
Kenya iko mbali sana, tena sana.
 
Duh huyo dada kapigilia nyundo iyo hashtag yake hakika in five years to come wata isoma nambaaaa
Halafu good news kwa sasa ni kwamba mazao mengi yakiwemo parachichi yanasafirishwa hapa hapa Tanzania yaani kupitia viwanja vya ndege kwenda kwenye masoko mbalimbali duniani.
 
Huwezi linganisha kiasi mnachoexport na kile ambacho sisi tunaexport. Sisi tunaexport mara kadhaa kuwashinda. Nyie ndio mumeanza tu. Sisi tumekuwa tukiexport avocado kwa miaka nyingi sasa. Endelea kucheka cheka tu
Ndio hivyo tukisha pata experience mnakosa parachichi kwani tutakuwa tunapeleka wenyewe
 
Back
Top Bottom