Masinki
JF-Expert Member
- Dec 18, 2014
- 713
- 481
Sahau kuhusu Simba na Yanga kwa leo. Karibu tuangazie suala hili.
Ni kisa cha kweli nilichoadisiwa na mmoja wa marafiki zangu na classmate wangu,yeye ni mtumishi wa umma katika mkoa X wilaya X hapa nchini ameanza kazi mwaka 2011 kama afisa msaidizi baadaye akawa confirmed afisa kamili.
Amepitia katika mikono ya maboss wawili hadi sasa. Boss wake wa kwanza alikuwa mtu kutoka mkoa wa Pwani; waliishi naye vizuri sana alikuwa anaheshimu walio chini yake, mtu social sana alisaidia palipo wezekana, alishauri panapofaa, pamoja na kasoro za kibinadamu lakini boss yule ukikosea kazini alikuwa anakuita Private na kukusahihisha mkiwa wawili tu na alilinda misingi ya kazi, cheo na umri wa mtu. All in all alipatwa na kisanga fulani hivi cha kuchomekewa na aliondolewa madaraka na kupelekwa kwingine.
Rafiki anaelezea kwamba baadaye walipelekewa mkuu (boss) mwingine kutoka idara fulani kwenda kwao alikuwa sio mzoefu wa kazi ile japo zilikuwa zinawiana sawa kiutendaji tofauti zipo japo sio kubwa. Boss yule alijifunza kazi kwa kusaidiwa na mmoja wa senior Afisa na kujua kazi vizuri.
Rafiki kwa ku declare interest aliniambia boss yule ni mtu kutoka kanda ya kaskazini, mwanzoni aliogopa sana maafisa na kuwaheshimu kwa kila namna aliwapanga majukumu bila upendeleo na pale fedha zilipotolewa za kazi mbalimbali alizigawanya bila kificho na kwa usawa.
Ila tabia ya mtu hujificha kwa muda tu baadaye akizoea huonesha uhalisia wake, boss alibadilika kwa kiasi kikubwa Sana baada ya afisa mmoja mpya kutoka mkoani mmoja anapotokea wenyewe huitana wa njia moja kuanza upendeleo wa wazi kila kazi yenye maslahi hupangwa yeye na mwingine wa geresha endapo kazi hiyo inahitaji watu wawili au zaidi lakini endapo inahitaji mtu mmoja atapelekwa yeye wa njia moja.
Cha kusikitisha zaidi boss amekuwa akidharau sana watu kutoka kanda fulani hapa nchini anapotokea Rais wa nchi na Rais wa kwanza, haswa mkoa wa mapanga kwa kuwatukana ni wajinga wasio soma.
Kwa mujibu wa best angu huyu boss amekuwa aheshimu Tena senior wake Wala hajali umri wa mtu huwatukana mbele ya Junior officers na hukaimisha madaraka kwa madogo tu pale anapoenda somewhere ambapo dogo mwenyewe ni kiazi ni yuleyule wa njia moja.
Yote kwa yote classmate anaeleza kuwa office kwao kuna vyombo vya usafiri gari na pikipiki kama tano hivi lakini haruhusu mtu yeyote kuendesha bali yeye pekee na kibaraka wake wanaotoka mkoa mmoja; wao huendesha gari na pia pikipiki na mara nyingi hupaki ofisini zile zinazobaki kwa masharti ya kutoruhusu wengine kuendesha ili hali watumishi wote wame-qualify in driving na wana leseni kubwa.
Zaidi mwajiri/Serikali ilipoleta vyombo vya usafiri iliruhusu wote wenye leseni kuendesha kwa shughuli anuai za office au zinazoshabiana kwa kufuata misingi ya kazi.
Na endapo boss au dogo anayemuaminia office nzima wasipokuta pikipiki zile zilizopakiwa wewe uliyechukua kuendesha utatukwana matusi yote ya kikwao na kikwenu na utaandikwa kwa siri kwamba una kiburi hivyo hupandishwi daraja/cheo.
Kwa hali hii morale ya maafisa imeshuka sana wamekuwa sio productive tena, best anaelezea kwamba wamemchoka boss huyu ila wanamtegea ajichanganye zaidi ipo siku isiyo na jina yaja watamfanya alie kama mtoto.
Kwa mazingira hayo maboss hupelekea mwajiri kuchukiwa sana na kulaumiwa bila sababu kumbe wanaosababisha wapo, wanakunywa bia na kutamba.
Cc: Kwa maboss wote wenye roho za korosho na wenye double standard. Komeni tabia hii. Mkumbuke mna watoto, watateswa kama mnavyowafanyia wengine.