Tuncel:"DNA ya Bayern Munich ni Ushindi tu"

Tuncel:"DNA ya Bayern Munich ni Ushindi tu"

[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
 
TT sio kocha yaani unamuanzshaje benchi Cancelo,Mane,Muller mbwa uyu
 
Kafurushwaaaaa huko UCL [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Dayot upemacano anagawana mshahara na tuchel

Mechi ya 1 kasababisha goli 2

Mechi ya 2 kanusurika umeme kasababisha penati kasababisha goli lakn hakutolewa h nje Kama substution

Kuna watu wanabahati zao

Mane n flopp pale Bavarian
 
Aisee Mane hajaflop ni basi tu kakosa formation nzuri ila naamini under TT atajipata
 
Back
Top Bottom