Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 301,221
- 1,172,274
Hazard ambaye bado anashikilia mpango wa kutaka kuhama licha ya kuzuiwa kufanya hivyo kiangazi cha mwaka huu, alinukuliwa akisema siku moja atatimiza ndoto yake ya kutua Santiago Bernabeu.
Unaandika ujinga mwingi ili uonekane ni member mwenye post nyingi humu jamiiforums [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]daaah pole sana kwa kutojitambua.