Unaandika ujinga mwingi ili uonekane ni member mwenye post nyingi humu jamiiforums [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]daaah pole sana kwa kutojitambua.
Numbi acha kuvunja mbavu zangu hahaaaaa rudi kwenye nyuzi pendwa ya wazee wa free stressEti vyuma vimekaza hadi mtu akipita karibu na makaburi anajisemea kimoyo moyo 'one day yes'.
Huhuhu!!! Lulu yupi maee?Lulu
Eti vyuma vimekaza hadi mtu akipita karibu na makaburi anajisemea kimoyo moyo 'one day yes'.
Jamani[emoji23]Huyo mbona haingii hata chembe kwa Tunda mbona. Yani iyo ni Fact!
Hapo ata kipofu ataona na uwezekano wa kiziwi kusikia ni mkubwa.
Kwanza kwa urefu tu uyo lulu kashakua disqualified. Ukija kwenye sura ndo kapigwa KO takatifu. Kwenye uhalisia ndo kabisa TKO
Tunda ni takoless, sura na rangi ya ngozi yupo vizuri, ila hana tako au tako lenye mvuto wa kulia chuma mboga!!!!!
Tunda ni takoless, sura na rangi ya ngozi yupo vizuri, ila hana tako au tako lenye mvuto wa kulia chuma mboga!!!!!
Kwa upande wangu mm...narudia tena, kwa upande wangu mimi, mwanamke asie na gluteal muscles huyo kwangu ni kama bro tu..aisee gluteal muscles ni kitu ya muhim sana kwa mdada..Tunda ni takoless, sura na rangi ya ngozi yupo vizuri, ila hana tako au tako lenye mvuto wa kulia chuma mboga!!!!!
Hahaha we jamaa unazinguaDuh kampita hadi RC.