Tunda aina ya Parachichi tunavyolichukulia hapa kwetu ni tofauti na wenzetu

Tunda aina ya Parachichi tunavyolichukulia hapa kwetu ni tofauti na wenzetu

Hilo parachichi lenye maji likoje??
Ukilikata tuu unaona lina maji maji hata ukiwa unakula lina kuwa hivyo hivyo tofauti na mengine ambayo ukikata linanata hata ukiwa unakula pia lina kuwa hivyo hivyo wenyewe wanasema lina unga 😀
 
Tatizo ya bongo species kama zinazopatikana BUKOBA zimejaa maji ni testless, labda zile za kilimanjaro na mbeya
Maparachichi mengi yanayouzwa Ulaya ni yale madogo kama korodoni za mbwa, yenye vipele. Hayafikii kabisa maparachichi ya sehemu kama Kilimanjaro, yale makubwa yenye ladha nzuri.
 
Tatizo ya bongo species kama zinazopatikana BUKOBA zimejaa maji ni testless, labda zile za kilimanjaro na mbeya
Kuna parachichi zipo ndogo za njano kwa ndani nzuri sana..ila kimsingi parachichi za bukoba nyingi zina maji sana..kama wenyeji wakike wa huko.

#MaendeleoHayanaChama
 
Kuna parachichi zinatoka burund zimejaa dar. Parachichi Kubwa kama tako la sanchi! Ila nje hupelek mana si mbegu ya HASS inayodum supermarket na gamba gumu kusafirisha
 
Hakuna tofauti kubwa hizo bei. Parachichi kubwa Tanzania linauzwa mpaka sh 1500/- , huko kwao ni dollar 1(sh 2300/)
Mkuu, hayo mapachichi ya sh. 1,500 ni yale ya kienyeji. Yale wanayoyataka Wazungu (yenye vipele kwenye ngozi) ni sh 2,500 kwa kilo. Kilo 1 inaweza kuwa na wastani wa parachichi 4-6 kulingana na ukubwa wa parachichi.
 
Back
Top Bottom