Kuna yale ukila hayanatinati mdomoni.Hilo parachichi lenye maji likoje??
Ukilikata tuu unaona lina maji maji hata ukiwa unakula lina kuwa hivyo hivyo tofauti na mengine ambayo ukikata linanata hata ukiwa unakula pia lina kuwa hivyo hivyo wenyewe wanasema lina unga 😀Hilo parachichi lenye maji likoje??
Maparachichi mengi yanayouzwa Ulaya ni yale madogo kama korodoni za mbwa, yenye vipele. Hayafikii kabisa maparachichi ya sehemu kama Kilimanjaro, yale makubwa yenye ladha nzuri.Tatizo ya bongo species kama zinazopatikana BUKOBA zimejaa maji ni testless, labda zile za kilimanjaro na mbeya
Maparachichi ya maji hayana ladha nzuri. Ukiyala yana ladha kama maji.Hilo parachichi lenye maji likoje??
Kuna parachichi zipo ndogo za njano kwa ndani nzuri sana..ila kimsingi parachichi za bukoba nyingi zina maji sana..kama wenyeji wakike wa huko.Tatizo ya bongo species kama zinazopatikana BUKOBA zimejaa maji ni testless, labda zile za kilimanjaro na mbeya
Parachichi nzuri ipo Njombe mkuu,Kisha inafuatia MbeyaTatizo ya bongo species kama zinazopatikana BUKOBA zimejaa maji ni testless, labda zile za kilimanjaro na mbeya
Ina bombaHilo parachichi lenye maji likoje??
Bila kutukana huoni rahaMjinga, kuwa makini.
Bango linasema 5 pieces/ 5 dollars.
Huku nilipo matatu shs 1000, wakati wa msimu yanashuka mpaka shs 500It means parachichi 1 ni 2400 sio hapa kwetu hadi 1000 mbona kama sawa tu
Mkuu, hayo mapachichi ya sh. 1,500 ni yale ya kienyeji. Yale wanayoyataka Wazungu (yenye vipele kwenye ngozi) ni sh 2,500 kwa kilo. Kilo 1 inaweza kuwa na wastani wa parachichi 4-6 kulingana na ukubwa wa parachichi.Hakuna tofauti kubwa hizo bei. Parachichi kubwa Tanzania linauzwa mpaka sh 1500/- , huko kwao ni dollar 1(sh 2300/)
Hiyo sio ela ya Mexico kweli?$5 ni Tshs11,500/= joh