Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Kwa kweli hamna kitu anachonikwaza Tunda kama nikimuona akijiachia achia hovyo na midume ya ajabu ajabu ajabu huwa nagadhibika sana.
Yaani naona kabisa siku hizi anataka kuwa kama hawa vinuka mkojo akina Gigy Money na Amber Lulu maana hawa hawajui kabisa thamani ya mwanamke ndio maana kila kukicha wanayaanika anika hovyo maumbile yao.
Sasa naumia kumuona Tunda anazidi kupotea siku hizi ,sijui anakosa nini huyu binti daah .
Sina mengi mengine ngoja nibaki nayo tu moyoni nitayatoa siku zijazo .