Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Duh! ina maana unamwambia ajue biashara ni matangazo.Bila kufanya hvyo hapa mjini ataishije sasa?
We pambana na hali yako,hela huna muite tu shemejii
Nilitaka nimuulize kutokuvaa na kutumika hovyo kwa huyu binti kunamwathiri vipi kiuchumi na kimaisha kwa ujumla?Yani unachukia ukimuona bata anaharisha???
Shabiki.Ni Dada ako? Au mkeo mkuu
Rafiki na shabiki mkubwa.Wewe ni nani wake?