Tunda awekwa kitimoto na familia yake kwa kutembea na mume wa mtu 'Kinje'

Tunda awekwa kitimoto na familia yake kwa kutembea na mume wa mtu 'Kinje'

heee kumbe ana familia maajabu [emoji15] [emoji15]
maana sio kwa matendo anayoyafanya
 
babake anaitwa saba sita [emoji23][emoji23]
 
Kwa hiyo bado hana mpango wa kuachana na kinje? Sijaelewa anapomwita mpenzi wake na hasira zikimwisha atamtafuta [emoji15]
Mbali na Kinje ambaye kwake atakuwa kafuata pesa tu ,atakuwa na chalii wake anayemkuna vizuri ...ndiye mpenzi anaye muongelea bila shaka
 
Hii ya kuwekwa Kiti Moto kwangu sio habari.., Ila siku akiwekwa kitu chenye Ncha Kali naomba mnitag bandugu!!!

Wazazi wenyewe wanamtegemea tunda, sasa walitaka afanyaje, wanajibaraguza tu, na yeye zamu yake bado
 
Asiyefunzwa na wazazi wake,hufunzwa na ulimwengu
 
Back
Top Bottom