Tunda limekuwa rahisi sana kupata tofauti na zamani

Tunda limekuwa rahisi sana kupata tofauti na zamani

yuda75

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2020
Posts
520
Reaction score
1,385
Wahenga waeshimiwe.

Zamani ulikuwa unaweza mlilia mtu miezi mitatu unaishia kuoneshwa chupi na upati kitu, tunda unalisotea miaka na miaka unaambiwa mpaka ndoa.

Oooooooh sasa hivi ukisema tu suuu wanasema swaaaaaa ilo apo
mmekutana asubui jioni unaitwa mume na tunda unapewa.

nawapa salama
msalimieni MWIJUMA MUMINI NA WIMBO WAKE WA TUNDA SPESHO
popote ulipo tunda jisitiri
 
Huyo ndo wewe?

Usemacho na ulivo ni sahihi kwa hadhi ya ukutanao

Kumbuka UKIMWI upo unaua.
tulia wewe acha presha najua mlaini sana maji moja
 
Wanaume tubadilike sasa tuwe na msimamo tunataka kipi kati ya kuomba na kupewa bila mizungusho au kupewa kwa mizungusho??
 
Shida siyo kutofanya kazi, shida ni kipato. Tunafanya kazi sana ila hela ndiyo haionekani.
Mapenzi ni moja ya basic needs kwa sasa.
Wanaume wamekua rahisi sana siku hizi, hawafanyi kazi. ni kutongoza wanawake tu, hawafikiri kitu kingine na Wengi family zinawashinda. Fanyeni kazi acheni kutongoza kila siku.
 
Shida siyo kutofanya kazi, shida ni kipato. Tunafanya kazi sana ila hela ndiyo haionekani.
Mapenzi ni moja ya basic needs kwa sasa.
Hakuna Kipato kinachotosha, lazima uwe na budget kulingana na malengo yako, mapenzi sio basic need, huwezi punguza pesa ya kulipa chumba kwa sababu ya Mapenzi. Kama unataka kuanzinisha Biashara Ndogo lazima ubane hio pesa Ndogo unayoipata sasa. ila kama mawazo yako kwenye kutongoza hutaona thamani ya mia moja unayoweka kwenye sim kwa ajili ya kumpigia dem. Tafuta pesa.
 
Shida ya elimu za kukaririshana. Mwafrika ukimwambia ataje vitu ambavyo ni basics needs atakuambia
1. Food
2. Shelter
3. Clothes
Zama tulizo nazo
Mapenzi, simu, gari, computer n.k ni basics needs. Angalia watu ambao hawana wapenzi, akili zao zinavyokuwa. Km kichaa
Tangu umeanza kutafuta pesa una milion 70 benk? Unaweza usilipie kodi ukaenda kula raha na mtoto mzuri. Hiyo pesa unayoibana kuanzisha biashara, unaweza usione hata faida yake.

Back
Top Bottom